Ila bulaya bwana akili yake yote alimpaga halima mdee. Yaani ukitaka kumkamata bulaya we mtege tu halima mdee. Bulaya ataingia mzima mzima. Kweli penzi ni upofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakimu anatetemeka sana ..hukumu itakuwa ameandikiwa huyo...
Kuna hatari John Heche kula mvua na mwenyekiti wake...Ndege zimeshaandaliwa watawanye kwenye magereza mbalimbali .
Dar,Mwanzaz Dodoma na Mbeya .
Jaji mtarajiwa."Kwa kweli mashtaka waliyoyafanya washtakiwa hawa ni mabaya sana hivyo washtakiwa hawa wanastahili adhabu kali" amesema Hakimu Simba.
Wakosee tu waone [emoji3577][emoji108][emoji120]Hii hukumu inafuatiliwa na wananchi, Serikali, mabeberu, CCM, wasaliti, viongozi wa dini, na wasiojali matokeo.
Kwaishu ya akwilina waliona serekali ngoma itakua mzito kwao maana muaji anajulikana wakiwapa kesi wale viongozi wa chadema wameona moto utawakaMauaji ya Akwilina sio Hoja ya Msing? baron de montesque,
[emoji12][emoji12][emoji12]Watanzania wanajua kila kitu, CCM fanyeni mtakalo!!
Kutiwa hatian sio kufungwa ...lazima wataambia kuhusu faini wewe unafikil dk mashinji naye afungwe kitu kama hicho akipo
Muache atowe hiyo hukumu Kali lkn nayeye atakwenda kuhumumiwa kwani kuna hakimu kushinda mahakimu wote"Kwa kweli mashtaka waliyoyafanya washtakiwa hawa ni mabaya sana hivyo washtakiwa hawa wanastahili adhabu kali" amesema Hakimu Simba.