Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

SIdhani kama watafeli kulipa hio faini.

Ila time will tell
 
HUKUMU.
Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30.
Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
 
Huyo hakinu au ni mpuuzi au ni mjinga au anatumika.

Wote wenye akili tunajua aliyesababiaha ni yule aliyetoa maelekezo kuwa CCM lazima ishinde. Ni mkurugenzi aliyetekeleza maagizo batili, ni polisi walioamua kupiga risasi ovyo kama vichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…