Hawana nafasi tena, hiyo ni jinaiHii hukumu haina athari kwenye kugombea nafasi zao za ubunge october
Sio kwamba hizo adhabu zinaenda concurrent mkuu? Huwa naona hukumu zingine za aina hiyo, unakuta zinakua zinaenda concurrent, hivyo baada ya miezi mitano, anakua ameserve hiyo miezi mi5 kwa kila kosa.... Labda wataalam wa sheria watusaidie zaidiHata hivyo nimiezi mitano kwakila kosa yaani kama umekutwa namakosa 12 inamaana utakaa jela miezi 60 sawasawa na miaka 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni tuangalie kama wana makosa kweli au la... Tusitumie kivuli cha upinzani kuonyesha wanaonewa... Tuangalie makosa yao kama yanafaa hukumu husika else watakuwa wameonewa.There must be something Fishy!
Hakuna mwanasiasa anayekupiganiaUnajua mangapi wana risk kw ajili yetu??leo hii mbowe anashida gani angeamua kuunga juhudi anguwa hata waziri mkuu,lissu asingekosa kuwa judge,halima angekuwa waziri saivi ila wanapigana kwa ajili ya sisi wanyonge bila hata support yetu ila bado wanatutea sisi mazuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ajili yetu wewe na Nani sema Kwa ajil yako ...accnt ipo wazi ya chama kachangieUnajua mangapi wana risk kw ajili yetu??leo hii mbowe anashida gani angeamua kuunga juhudi anguwa hata waziri mkuu,lissu asingekosa kuwa judge,halima angekuwa waziri saivi ila wanapigana kwa ajili ya sisi wanyonge bila hata support yetu ila bado wanatutea sisi mazuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
PumbafuSafi hizo pesa ziingie serikalini tulipwe mshahara mapema, kwa hapo unalipwa walimu zaidi ya 300 mshahara. Wao waendelee kupigania demokilasia
Aha Sawa kumbe makosa yote yanaenda sambamba duh ningekuwa nimimi ndio mbowe ningekaa korokoroni hiyo miezi 5Hesabu haziness hivyo mkuu makosa yote ni muesli mitano hatuaidishi maana wanafungwa siku moja kuwa kila kosa
Hakuna mahakama huru Afrika! Yanayofanyika tunayaona na vile mahakama zinavyopangiwa wafanye nini na serekali pia tunajua! Kwa mfano kuna nchi fulani ya Afrika mashariki a.k.a nchi ya asali na maziwa, mahakama katika nchi hiyo zimeagizwa na serekali ziweke kipaumbele adhabu za fine ili zipatikane hela za kujenga SGR na kununua ndege![emoji12][emoji12][emoji12]Mahakama ni chombo huru. Achana na hao
Hata Makaburu walitenda na kujificha chini ya sheria zao za Ukandamijazaji. Waliziona pia kuwa mahakama zao ni huru Ingawa zilikuwa huru kuliko za awamu ya 5). Akina Mandela pia walihukumiwa na mahakama hizo huru za Makaburu ...!!Umeshawahi kwenda Mahakamani, Ni watu wangapi wanapata haki Mahakamani kila siku, hiyo conclussion kuwa Mahakama imeifikia kwa kutumia vigezo vipi, ili iwe huru ni pale wale unaowapenda wanaposhinda tu au!?
Mahakama inafanya mambo yake hadharani, Hukumu itatoka, either watakutwa na hatia au bila hatia, then ukishaona hiyo hukumu ndo unaweza kujudge.
Acheni kuwapa Wanasiasa Umungu mtu, wakikosea nao waadhibiwe Kama wananchi wengine wanavyoadhibiwa!
Sio hivo, adhabu ya kifungo jela huenda sambamba kwa makosa yote. Ikiwa ulihukumiwa miaka 2 kosa la kwanza, 3 kosa la pili na miaka 5 kosa la tatu, utatumikia miaka 5 kwani ile miaka 2 na 3 ipo ndani ya hiyo miaka 5.Hata hivyo nimiezi mitano kwakila kosa yaani kama umekutwa namakosa 12 inamaana utakaa jela miezi 60 sawasawa na miaka 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuendelee na siasa, Haya mengine tutapandishana pressure