Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Chama kitoe utaratibu faini ipatikane.Wapenda mageuzi tutachanga.Mumiani wachekelee!
 
Sio kwamba hizo adhabu zinaenda concurrent mkuu? Huwa naona hukumu zingine za aina hiyo, unakuta zinakua zinaenda concurrent, hivyo baada ya miezi mitano, anakua ameserve hiyo miezi mi5 kwa kila kosa.... Labda wataalam wa sheria watusaidie zaidi
Aha Sawa mkuu yawezekana ikawa nihivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That means, hawawezitena kugombea Urais, ubunge au udiwani kisa wamekutwa na makosa ya jinai.

Kuna vacant position already ndani ya Chadema ya wagombea wapya kwani hawa hata wakikata rufaa hawawezi pata miezi 7 hii ilobaki.
Elewa sheria bwana acha kuropoka. Huwezi kugombea kama hatia uliyopatikana nayo haina "Option" ya fain ila kifungo peke yake.

Sasa muelewe hivyo kusudi msirudi tena humu kueneza uzushi usio na maana, hizo pelekeni vijiweni huko.
 
Kuna watu wanafikiri kuwa hukumu imetolewa leo...hapana leo ilikuwa ni kusoma hukumu tu.
Tangu hakimu aseme kuwa Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu, hiyo huashiria mwenendo na hatima ya kesi kwa sehemu kubwa.
Hapo ndipo hukumu ilipoanzia.
Pia mwenenendo wa kesi pia huashiria kwa 80% matokeo ya kesi, hivyo Kibatala alijua fika lazima wahukumiwe, na lijipanga kwa plan B yaani kuona ni wapi atatia utetezi kupunguza ukali wa hukumu.
Je 100ml ni chochote mbele ya uhuru wa mtu?
Hasha!
Walipe hata kama ni zaidi maisha huru yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kama sikosei Chadema inawabunge 70 bungeni ukiwatoa Tundu Lisu na Nassari wanabaki wabunge 68 kila mmoja akichanga milioni 5 zinapatikana milioni 340! Deni litakua limeisha japokua ni hela nyingi 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…