Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

1583857507632.png
 
Hata Nyerere alichangiwa wakati wa harakati za kudai uhuru ni kawaida usipate tabu kwa hilo
Viongozi wakihukumiwa, wanachama na wafuasi wanachanga. Je, wafuasi na wanachama wakihukumiwa viongozi wanachanga? Chezeeni biashara ya siasa. Zile za Lissu zilifikia kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akwulina siku yake ilikua imetimia,ile risas ilimpita dereva cm kadhaa kichwani mwake ikampiga akw aliekua nyuma, nafikir ilikua ipigwe juu askr akajilegeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7CA62GWNL4M Imethibitishwa Tsh15,000.00 imetumwa kwa 255754275531 - RODERICK LUTEMBEKA Tarehe 10/3/20 saa 7:29 PM kwa ada ya Tsh360.00. Salio lako la M-Pesa ni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaa 11 replies 930+ what a msg to the authorities

Jr[emoji769]

Looks fast!

Hata hivyo twende kitaalam zaidi ili kupata picha kamili ya uzito wa 'msg to authorities', 950+ iweke kwa proportion, say percentage ya wachangiaji.

PS: remove duplicates from those with multiple posts.
 
Masaa 11 replies 930+ what a msg to the authorities

Jr[emoji769]
Upinzani wapo wengi lakini CCM wana idadi zaidi tofauti yenu ni moja tu. Upinzani mna kelele wenzenu wapo kimya kwasababu wana dola. Msifanye kosa la kudhani CCM wapo wachache. Tengenezeni sera za kuwavutia wanachama wa CCM wahamie kwenu badala ya kutambia namba ambazo hazitoshi.
 
Haki ya nani nilikua sitaki nipoteze kushiriki uchaguzi mkuu hapo baadae lakini kwa hili naahidi kwenda kupiga kura ya kuadhibu wabakaji wa haki za watanzania.
Chadema you have my vote aisee.
 
mark my words ladies and gents. Arab uprising is nearing our borders.
We aren't far from the same shit that we saw on our north African sisters n brothers few years aback.
Mark my words.
 
Wakuu hamjambo?

Naandika Uzi huu nikiwa na huzuni kubwa ya kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa Mbowe Na viongozi wenzake,binafsi nikifikilia kuhusu vurugu zilizo himizwa na viongozi wa chadema hadi kupelekea kifo cha binti akwilina naumia sana.

Kwa hukumu iliyotolewa Leo ikilinganishwa na uhai wa binti yetu akwilini naona kama haviendani,hukumu ya maisha kwa Mbowe Na viongozi wenzake ndiyo ilikuwa suruhu katika kuweka mambo sawa, hii ni kutokana na athari mbaya zilizojitokeza kutokana na uana harakati uchwara wa akina Mbowe Na wenzake.

Swali langu ni kuwa,je Kama raia naruhusiwa kukata rufaa kutokana na kutokulidhishwa na hukumu iliyotolewa kwa viongozi hawa,kwani naona milioni 350 au jela miezi mitano ni hukumu ambayo haikuzingatia uzito wa kosa,na haijawatendea haki wazazi na ndugu wa binti akwilina.

Wataalamu wa sheria nijuzeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom