Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 977
- 2,370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masaa 11 replies 930+ what a msg to the authorities
Jr[emoji769]
Viongozi wakihukumiwa, wanachama na wafuasi wanachanga. Je, wafuasi na wanachama wakihukumiwa viongozi wanachanga? Chezeeni biashara ya siasa. Zile za Lissu zilifikia kiasi gani?
Tulimchangia. Inakuhusu nini?Wakati alikuwa analialia kila siku hana pesa mpaka wazungu ndiyo wanamfadhiri nyinyi maneno tuui!
Mbona mkuregenzi Na polisi wasababishi ujawaonaLiwe lisiwe lazima Mbowe ale mvua hapo wengine watapata unafuu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.
Wewe kula kulala utachanga kweli?Tulimchangia. Inakuhusu nini?
Chanzo cha kuandamana ni ninialiyesababisha ndiye mwenye kosa kubwa bila kuandamana mbowe na genge lake mauaji yangetoka wapi
kama ulijua vileLiwe lisiwe lazima Mbowe ale mvua hapo wengine watapata unafuu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Masaa 11 replies 930+ what a msg to the authorities
Jr[emoji769]
Enzi za Dkt Slaa threads zinazo husu chadema zilikuwa na replies zaidi ya 500 ndani ya lisaa!Masaa 11 replies 930+ what a msg to the authorities
Jr[emoji769]
Upinzani wapo wengi lakini CCM wana idadi zaidi tofauti yenu ni moja tu. Upinzani mna kelele wenzenu wapo kimya kwasababu wana dola. Msifanye kosa la kudhani CCM wapo wachache. Tengenezeni sera za kuwavutia wanachama wa CCM wahamie kwenu badala ya kutambia namba ambazo hazitoshi.Masaa 11 replies 930+ what a msg to the authorities
Jr[emoji769]
Kafanye sherehe sasa wamefungwa kifungo cha maishaMzee makamba alipowambia atawabatiza kwa moto mlidhani utani haya sasa ubatizo unaanza leo Kisutu