Mahakama ya Mafisadi imekufa kifo cha kawaida?

Mahakama ya Mafisadi ipo, na jengo lake lipo nyuma ya ofisi za TCRA, na ndani ya geti la Law School. Kila siku watuhumiwa wanaletwa hapa na majaji wanakuja. Acheni kusambaza uongo eti hii mahakama haifanyi kazi
Tunaomba majina ya watuhumiwa sheikh wana-attend hiyo mahakama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daima tabia ya kuiga huwezi fika nayo mbali na moto wa mabua haukawii kuzima , siku hizi ni mahakama ya wapinzani na si mafisadi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fisadi papa limerudi nyumbani CCM. Kwa maana nyingine nyumbani kwa mafisadi ni CCM. Nani anapisha? Uliza, EL anapohama Chadema alisema alikuwa ugenini sasa anarudi nyumbani. Kwa Mafisadi upinzani ni ugenini na nyumbani ni CCM. CCM Hoyeee! Naona wameanza kusutana wao kwa wao. Hilo zigo la mamvi litawatesa kweli. na linawatesa wakati mbaya huu kuelekea 2020. Yaani badala ya kupiga kampeni 2020 watakuwa na kazi ya kutufafanulia kauli yao ya kwamba fisadi papa limekimbilia Chadema walimaanisha nini?
 
Fisadi papa limerudi nyumbani CCM. Kwa maana nyingine nyumbani kwa mafisadi ni CCM. Nani anabisha? Uliza, EL anapohama Chadema alisema alikuwa ugenini sasa anarudi nyumbani. Kwa Mafisadi upinzani ni ugenini na nyumbani ni CCM. CCM Hoyeee! Naona wameanza kusutana wao kwa wao. Hilo zigo la mamvi litawatesa kweli. na linawatesa wakati mbaya huu kuelekea 2020. Yaani badala ya kupiga kampeni 2020 watakuwa na kazi ya kutufafanulia kauli yao ya kwamba fisadi papa limekimbilia Chadema walimaanisha nini?
 
Ulikusudia akamatwe lowassa ili mlalamike!
 
Mahakama ya Mafisadi ipo, na jengo lake lipo nyuma ya ofisi za TCRA, na ndani ya geti la Law School. Kila siku watuhumiwa wanaletwa hapa na majaji wanakuja. Acheni kusambaza uongo eti hii mahakama haifanyi kazi
Axee we somo la ufahamu ulitoka kapa,ina maana hujaelewa kilichoandikwa?mtu katolea mpk mfano wa vidagaa lkn bdo hujanasa kitu
 
Kama wamefikishwa mahakamani hofu yako nini ?

Unadandia tu. Mimi nilikuwa ninawajibu kuwa mahakama inafanya kazi, na kupinga maelezo kuwa haifanyi kazi. Sasa wewe msingi wa swali lako ni nini?
 
Rostam+ lowasa= mahakama ya mafisadi
 
uhovyo
Mahakama zipo huru ndio sababu hata Jaji Sam Rumanyika akatoa hukumu ya Hovyo katika Historia ya Mahakama lakin haijaguswa wala kuonywa
Wewe Ni mwanamke sheria? Tupe vigezo vya kisheria kuonyesha uhovyo wa hiyo hukumu. Yaani wewe bwana Ni mpotoshaji mkubwa sana unafanana sana kwa tabia na mpiga filimbi wa Hamelin!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama ya mafisadi ilianzishwa kwaajili ya lowasa.
Lowasa amerudi kwao ,hiyo mahakama ni ya kumshitaki nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama ya Mafisadi ipo, na jengo lake lipo nyuma ya ofisi za TCRA, na ndani ya geti la Law School. Kila siku watuhumiwa wanaletwa hapa na majaji wanakuja. Acheni kusambaza uongo eti hii mahakama haifanyi kazi
Hivi hiyo mahakama yako wanapelekwa kina nani kwa sababu kina Habindra Sing na Rugemalira wao tuliwaona Kisutu. Huko ni kina nani walishapelekwa huko?? Hata kina Masamaki walipelekwa Kisutu. Tupiamo hata kadagaa tu kamoja kwenye huo muchuzi
 
Hii Mahakama jina lake rasmi ni Mahakama Kuu, Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, yaani Corruption and Organized Crime Division. Ni moja ya division za Mahakama Kuu. Division nyingine za Mahakama Kuu ni High Court Land Division, Labour, na Commercial.

Mwenye mamlaka ya kuamua ni kesi ipi inafaa kwenda division ipi ni DPP. Na anaamua kwa kuzingatia sheria na vigezo vya kikanuni.

Usiniulize kwani Kisutu ni Mahakama Kuu.

Ni kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, huwa ina exercise extended jurisdiction yaani, Hakimu Mkazi anapewa mamlaka ya kuwa Jaji na Mahakama ya Hakimu Mkazi inakuwa na hadhi ya Mahakama Kuu, na hivyo kuamua kesi za Mahakama Kuu. Na hata mtu akikata rufaa kutokana na hukumu hiyo, rufaa inaenda Mahakama ya Rufaa.

Mwanasheria ndiye atanielewa zaidi
 
Hivi hiyo mahakama ndiyo inashughulika na vyesi vya uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…