Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Bila shaka kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Tuliambiwa uamuzi ungetolewa mwezi September, lakini ghafla leo tunaambiwa rufaa ya DPP imetupwa.Bakora za mabeberu zinafanya kazi , kusikia kwa kenge hadi damu itoke masikioni.
Huku EU, huku US Senate, huku commonwealth, huku ICC muuaji wa Kizimkazi hawezi kuchomoka pote.
Soon watamwachia Lissu bila masharti sababu hakuna uhaini wowote hapo kwa nchi yenye mahakama zinaozojitambua.
Cc : Vidampa wa Samuya muuaji Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
Umetumia neno atakayethibitika. Kumbe unajua kuwa bado hana hatia mpaka akithibitika. Vizuri unaheshimu process sasa. Kipindi cha nyuma hukuwa ukiheshimu process.Gentleman,
hiyo ni haki kabisa ya wazi kwa atakaethibitika pasina shaka yoyote kwa mujibu wa sheria, kwamba ni muhaini, atapata haki stahiki ya kunyongwa hadi kufa bila mbambamba yoyote ile π
gentleman,Umetumia neno atakayethibitika. Kumbe unajua kuwa bado hana hatia mpaka akithibitika. Vizuri unaheshimu process sasa. Kipindi cha nyuma hukuwa ukiheshimu process.
Mahakama hazipo huruNi habari njema kweli kweli; sasa kesi iendelee hili jambo liishe.
Lakini nao Mahakama ya Rufaa wanachukua muda mrefu usio wa lazima kuamua jambo ambalo halikuwa na utata mkubwa kisheria.
Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha ushahidi mpya.
View attachment 3640052
Kiini cha Mzozo
Uamuzi wa Mahakama
- Upande wa mashtaka ulitaka kuwasilisha ushahidi wa ziada kupitia shahidi wao, ACP Amini Mahamba, ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi wa matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
- Lissu, ambaye alijitetea mwenyewe, alipinga vikali hatua hiyo.
- Alieleza kuwa Kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kinaruhusu tu upande wa mashtaka kumwita shahidi mpya ambaye ushahidi wake haukusomwa wakati wa taratibu za awali, na sio kuongeza ushahidi mpya kutoka kwa shahidi ambaye tayari alikuwa ametoa ushahidi.
- Awali, Mahakama Kuu ilikubaliana na hoja za Lissu na kufutilia mbali notisi ya upande wa mashtaka kwa kuwa na mapungufu kisheria.
Ombi la Fidia lakataliwa
- Mahakama ya Rufaa imeunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu, ikieleza kuwa Kifungu cha 308 cha CPA kimewekwa maalum kwa ajili ya kumleta shahidi ambaye ushahidi wake haukuwahi kusomwa kwa mshtakiwa.
- Majaji wamefafanua kuwa sheria haiweki masharti ya kutoa kibali cha kumwita tena shahidi aliyepo ili kutoa ushahidi mpya au wa ziada.
- Kutokana na hilo, Mahakama imeamua kuwa notisi ya upande wa mashtaka ilikuwa na makosa na hivyo kutupilia mbali maombi yote ya DPP kwa kukosa mashiko.
Soma Pia: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
- Wakati wa shauri hilo, Lissu aliomba kulipwa fidia kwa kutumia siku 139 akiwa rumande wakati kesi ya msingi ikiwa imesimama kupisha maombi haya, akidai yalifunguliwa kwa usumbufu ili kuchelewesha kesi.
- Mahakama imelikataa ombi hilo.
- Majaji wameeleza kuwa hawana mamlaka ya kutoa amri hiyo kwa sababu wao si mahakama ya mwanzo, na sheria inaelekeza kuwa fidia inaweza kuamriwa tu baada ya mshtakiwa kuachiwa huru moja kwa moja endapo itabainika kuwa mashtaka yalikuwa ya usumbufu.
Baada ya kubanwa na wenye dunia ndiyo wanaleta maigizo ionekane mahakama zipo huru.Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha ushahidi mpya.
View attachment 3640052
Kiini cha Mzozo
Uamuzi wa Mahakama
- Upande wa mashtaka ulitaka kuwasilisha ushahidi wa ziada kupitia shahidi wao, ACP Amini Mahamba, ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi wa matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
- Lissu, ambaye alijitetea mwenyewe, alipinga vikali hatua hiyo.
- Alieleza kuwa Kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kinaruhusu tu upande wa mashtaka kumwita shahidi mpya ambaye ushahidi wake haukusomwa wakati wa taratibu za awali, na sio kuongeza ushahidi mpya kutoka kwa shahidi ambaye tayari alikuwa ametoa ushahidi.
- Awali, Mahakama Kuu ilikubaliana na hoja za Lissu na kufutilia mbali notisi ya upande wa mashtaka kwa kuwa na mapungufu kisheria.
Ombi la Fidia lakataliwa
- Mahakama ya Rufaa imeunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu, ikieleza kuwa Kifungu cha 308 cha CPA kimewekwa maalum kwa ajili ya kumleta shahidi ambaye ushahidi wake haukuwahi kusomwa kwa mshtakiwa.
- Majaji wamefafanua kuwa sheria haiweki masharti ya kutoa kibali cha kumwita tena shahidi aliyepo ili kutoa ushahidi mpya au wa ziada.
- Kutokana na hilo, Mahakama imeamua kuwa notisi ya upande wa mashtaka ilikuwa na makosa na hivyo kutupilia mbali maombi yote ya DPP kwa kukosa mashiko.
Soma Pia: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
- Wakati wa shauri hilo, Lissu aliomba kulipwa fidia kwa kutumia siku 139 akiwa rumande wakati kesi ya msingi ikiwa imesimama kupisha maombi haya, akidai yalifunguliwa kwa usumbufu ili kuchelewesha kesi.
- Mahakama imelikataa ombi hilo.
- Majaji wameeleza kuwa hawana mamlaka ya kutoa amri hiyo kwa sababu wao si mahakama ya mwanzo, na sheria inaelekeza kuwa fidia inaweza kuamriwa tu baada ya mshtakiwa kuachiwa huru moja kwa moja endapo itabainika kuwa mashtaka yalikuwa ya usumbufu.
Nenda kamchape. Kwa hoja hamjamweza labda hizo nguvu za kutotumia sheria ndio mtamweza.SEREKALI HII AWAMU YA SITA NA VYOMBO VYAKE VYOTE VINA UTU WA HALI YA JUU SANA.
Endapo lissu kama ataachiwa asiache kuchapwa angalau viboko viine!,....
Sasa DPP anapenda kusema Hana Nia ya kuendelea na Kesi au aendele lakini akijua kwamba ameshindwa kuishawiashi Au amefanikiwa kuishwishi Mahakama kutoa MaamuziLeo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha ushahidi mpya.
View attachment 3640052
Kiini cha Mzozo
Uamuzi wa Mahakama
- Upande wa mashtaka ulitaka kuwasilisha ushahidi wa ziada kupitia shahidi wao, ACP Amini Mahamba, ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi wa matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
- Lissu, ambaye alijitetea mwenyewe, alipinga vikali hatua hiyo.
- Alieleza kuwa Kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kinaruhusu tu upande wa mashtaka kumwita shahidi mpya ambaye ushahidi wake haukusomwa wakati wa taratibu za awali, na sio kuongeza ushahidi mpya kutoka kwa shahidi ambaye tayari alikuwa ametoa ushahidi.
- Awali, Mahakama Kuu ilikubaliana na hoja za Lissu na kufutilia mbali notisi ya upande wa mashtaka kwa kuwa na mapungufu kisheria.
Ombi la Fidia lakataliwa
- Mahakama ya Rufaa imeunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu, ikieleza kuwa Kifungu cha 308 cha CPA kimewekwa maalum kwa ajili ya kumleta shahidi ambaye ushahidi wake haukuwahi kusomwa kwa mshtakiwa.
- Majaji wamefafanua kuwa sheria haiweki masharti ya kutoa kibali cha kumwita tena shahidi aliyepo ili kutoa ushahidi mpya au wa ziada.
- Kutokana na hilo, Mahakama imeamua kuwa notisi ya upande wa mashtaka ilikuwa na makosa na hivyo kutupilia mbali maombi yote ya DPP kwa kukosa mashiko.
Soma Pia: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
- Wakati wa shauri hilo, Lissu aliomba kulipwa fidia kwa kutumia siku 139 akiwa rumande wakati kesi ya msingi ikiwa imesimama kupisha maombi haya, akidai yalifunguliwa kwa usumbufu ili kuchelewesha kesi.
- Mahakama imelikataa ombi hilo.
- Majaji wameeleza kuwa hawana mamlaka ya kutoa amri hiyo kwa sababu wao si mahakama ya mwanzo, na sheria inaelekeza kuwa fidia inaweza kuamriwa tu baada ya mshtakiwa kuachiwa huru moja kwa moja endapo itabainika kuwa mashtaka yalikuwa ya usumbufu.
ππππππππIn fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.
nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi π
Huyu dogo anatumika kisiasa kwa manufaa ya chama chake ili kumuumiza kiasi.huu ni ujinga uliopiliza .anataka lissu aendelee kuwa jela wakati yeye ana enjoy na familia yake.haya mambo yatafikia mwisho soon.wanaumiza watu ili chama chao kiendelee kutawala ili ufisadi uendelee.maisha ya watu yamekuwa magumu sana wkt kundi dogo la watu wanaishi kama wako paradiso hoi haikubaliki.G-Z kazi kwenu kama hamuamuki tabaka hili la walio nacho wataendelea kutawala milele.Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha ushahidi mpya.
View attachment 3640052
Kiini cha Mzozo
Uamuzi wa Mahakama
- Upande wa mashtaka ulitaka kuwasilisha ushahidi wa ziada kupitia shahidi wao, ACP Amini Mahamba, ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi wa matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
- Lissu, ambaye alijitetea mwenyewe, alipinga vikali hatua hiyo.
- Alieleza kuwa Kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kinaruhusu tu upande wa mashtaka kumwita shahidi mpya ambaye ushahidi wake haukusomwa wakati wa taratibu za awali, na sio kuongeza ushahidi mpya kutoka kwa shahidi ambaye tayari alikuwa ametoa ushahidi.
- Awali, Mahakama Kuu ilikubaliana na hoja za Lissu na kufutilia mbali notisi ya upande wa mashtaka kwa kuwa na mapungufu kisheria.
Ombi la Fidia lakataliwa
- Mahakama ya Rufaa imeunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu, ikieleza kuwa Kifungu cha 308 cha CPA kimewekwa maalum kwa ajili ya kumleta shahidi ambaye ushahidi wake haukuwahi kusomwa kwa mshtakiwa.
- Majaji wamefafanua kuwa sheria haiweki masharti ya kutoa kibali cha kumwita tena shahidi aliyepo ili kutoa ushahidi mpya au wa ziada.
- Kutokana na hilo, Mahakama imeamua kuwa notisi ya upande wa mashtaka ilikuwa na makosa na hivyo kutupilia mbali maombi yote ya DPP kwa kukosa mashiko.
Soma Pia: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
- Wakati wa shauri hilo, Lissu aliomba kulipwa fidia kwa kutumia siku 139 akiwa rumande wakati kesi ya msingi ikiwa imesimama kupisha maombi haya, akidai yalifunguliwa kwa usumbufu ili kuchelewesha kesi.
- Mahakama imelikataa ombi hilo.
- Majaji wameeleza kuwa hawana mamlaka ya kutoa amri hiyo kwa sababu wao si mahakama ya mwanzo, na sheria inaelekeza kuwa fidia inaweza kuamriwa tu baada ya mshtakiwa kuachiwa huru moja kwa moja endapo itabainika kuwa mashtaka yalikuwa ya usumbufu.
unazungumzia yule wakili ambae hana smile kazini kwakweli kotini?ππππππππ
Salamu njema sana kwa Katuga
Yes the trial initiated by NPS against the giant political figure in the land is vexious and frivolous hence is going to end unmeritorious and the prosecutors will hide their face ashamed.Watanzania wanamuunga mkono Lissu
Naam, Lissu ataachiliwa bila masharti , kesi hii hii ya mchongo haikua na hadhi ya kufika mahakama kuu ilitakiwa kuishia Kisutu tangu mwezi June mwaka jana.Bila shaka kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Tuliambia uamuzi wa pingamizi la Lissu ungetolewa mwezi September, lakini ghafla leo tunaambiwa rufaa ya DPP imetupwa.
I wonβt be surprised if the mazafakas enter a nolle prosequi at their next court appearance!
This is bullshit. Mkomesheni Heche kwa kumuachia Lissu!Heche ndo hataki lissu atoke selo make bakuli la tonetone linamsaidia kula bata bila bugudha