Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

Nenda wewe kaujumuishe huo ushahidi mpya ili apatikane na hatia anyongwe kisha roho itulie.
Gentleman,
nafikiri mahakama huru za Tanzania,
kwa wakati muafaka, itakubaliana na mtazamo wangu huo wenye mantiki ya kisheria πŸ’
 

Nchi hii ni Mahakama ya Rufaa pekee ambayo inaweza kuikatalia Jamhuri, lakini safari ya kuifikia imejaa maumivu maana unakuwa umeshapigika na unaweza kukata tamaa.

Vv
 
Lissu tukubari tu katushika kalio ccm. Haina ubishi labda dishi liwe limeyumba kama lako
Kwa kauli za lissu,ya kwamba uchaguzi watauzuia na ya kwamba hautafanyika,na kweli siku ya uchaguzi tulishuhudia vurugu,watu kukatwa vidole,mali za umma kuharibiwa,pamoja na kuchomwa moto!, ""hapa pasiwe na kesi nzito?,inastaajabisha sana""
================

Section 55 of the Penal Code (Cap. 16) – Seditious Intention
"A seditious intention is an intention to bring into hatred or contempt or to excite disaffection against the lawful authority of the United Republic or its Government; to raise discontent or disaffection amongst the inhabitants of the United Republic; or to promote feelings of ill-will and hostility between different classes of the population."
 
Kasome vizuri Sheria. Huwezi kushtakiwa kwa kosa ambalo wakati unakamatwa ulikuwa hujalitenda.
 
Lissu Sasa atakuwa ni mchawi yupo maabusu miezi sita kabla ya uchaguzi alafu useme ndo kasababisha inahtaji uwe na utimamu zero point zero wa ubongo kuamini hizi kelele za walioshindwa kuwajibika kulinda maslai ya raia
 
Arooo abari za mbweni?
 
Lissu Sasa atakuwa ni mchawi yupo maabusu miezi sita kabla ya uchaguzi alafu useme ndo kasababisha inahtaji uwe na utimamu zero point zero wa ubongo kuamini hizi kelele za walioshindwa kuwajibika kulinda maslai ya raia
Kauli ya kiongozi wa chama,huwa ni amri ya kutekelezwa!,au hufahamu hili!?......
 
SEREKALI HII AWAMU YA SITA NA VYOMBO VYAKE VYOTE VINA UTU WA HALI YA JUU SANA.
Endapo lissu kama ataachiwa asiache kuchapwa angalau viboko viine!,....
Chief, is this comment meant to be a joke, or are you being serious? Lissu is facing major treason charges and there are serious reports concerning his safety in prison. How is calling for four lashes anything other than a joke in a situation this critical?
 
"Kaka Kesi ishakua ngumu huku aliyemletea chai mtuhumiwa nae kawekwa ndani"
 
 

Tanzania ni Taifa huru Wazungu wanajua ivyo🀠

kwetu wamependekeza mengi sio kumwachia Lissu tu πŸ‘ˆ

Yapo na mengine walishapendekeza na Usodoma lkn tumesimama kama Taifa Huru ✍️
Sodoma kaione Unguja na Pemba.
 
Gentleman,
nafikiri mahakama huru za Tanzania,
kwa wakati muafaka, itakubaliana na mtazamo wangu huo wenye mantiki ya kisheria πŸ’
Nchi nzima wamamjadili Lisuu, ila wewe hata mtaani kwenu hujulikani zaidi ya korido za Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…