Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

Sasa katika mazingira kama haya ulitakaje Bwana mkubwa,Chedema haina dola hata hili ni jambo jema
 
Sarakasi za ujinga mtupu... Hilo file kwa nini halikuitwa mapema kabla ya uchaguzi? Hiyo mahamaka ya rufaa ingeweza na ilikuwa na uwezo wa kuliitisha hilo file haraka hata bila kufungua kesi... Huyo Judge aliyetoa Amri ya kusimamisha shughuli za kisiasa ajitafakari na ikiwezekana aache kazi yeye mwenyewe. Hawezi kufanya umburura wake ( kwa kiwango cha 5G) na Mahakama ya rufaa itoe amri abadirishwe... Hayuko competent ndio maana amri ni ya kubadirishwa tu... Kihiyo pumbavu number 1.... kapotezea watu rasimali za kila akina, na sijui hapo alipo anajisikiaje na ujinga wake... Pumbavu zake...
 
Duuh! Ni wamejichanganya au wamejiandaa ndo wakatoa uamuzi?? Cause hali si shwari kwao. Wataua sana!!
 
 
usiwe kama hukwenda shule, kama katika normal /natural mathematics mtu anasema 1+1=3, lazima tuseme kuwa hiyo siyo kweli. Ndicho kinachofanywa na mahakama. Leo kweli 1+1=2.... hii ndiyo sahihi! tutalisema kuwa imetenda haki!
Kwenye hesabu hyo hyo
Majibu ya rounding/approximation hayajawahi kufanana ni kila mtu na rounding yake

Kwenye regression of data, ni mara chache sana majibu kufanana..
 
Nashauri: Iwekwe nakala ya hukumu hapa tufuatilie. Chadema mnakwama sana kutozianika hizi kesi. Umma unatakiwa ujue nabkupitia hukumu za kesi hizi.
 
Excellent habari zimfikie pimbi Yericko Nyerere
 
Sasa katika mazingira kama haya ulitakaje Bwana mkubwa,Chedema haina dola hata hili ni jambo jema
Chadema ina watu, hawa watu ndio wanatakiwa kuwa walinzi wa kulinda sheria za nchi, na wasikubali uonevu wowote mahali popote.
 
Nashauri: Iwekwe nakala ya hukumu hapa tufuatilie. Chadema mnakwama sana kutozianika hizi kesi. Umma unatakiwa ujue nabkupitia hukumu za kesi hizi.
Hyo ni lugha ya akina shiviji unaweza kuielewa?
We tafuta lugha ya akina dr karamagi, kirama, lokina
 
Mungu ni mwema Kila wakati na hakuna giza linaloweza kuishinda nuru
 
Wajinga tu ndio watasema kama unavyosema.
Nimeona post yako, umeandika kiingereza chepesi hata robo kilo hakifiki
Kama ulitaka wanaokuweka mjini wajue kuwa na wewe umefurahi, ulipaswa uandike mawazo yako kwa kiingereza, halafu tafuta google translator au AI utafsiri kuliko kuparamia lugha za watu na kujidharirisha.

kwa kuwa akili zako ni mbili tu, utatukana.
 
CCM Wahuni sana, wamefanya hivi baada ya kujiweka madarakani
Kabisa.....makatili sana hawa majahili.

Pamoja na kumkamata Tundu Lissu na kumweka mahabusu kwa Mwaka mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…