Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

Hapo kunadilisha jaji wame muonea aibu mwenzao maana hata hayo madai ni upuuzi
 
Icc iko pale pale
 
Kwenye hesabu hyo hyo
Majibu ya rounding/approximation hayajawahi kufanana ni kila mtu na rounding yake

Kwenye regression of data, ni mara chache sana majibu kufanana..
2 au 3 utai-round kwenda wapi.
 
Maandalizi ya ripoti ya uchunguzi wa matukio ya mo29. Ngoja tuona na tutarajie lisu nae ataachiliwa ndani ya siku hizi 7 kabla ya ripoti kutoka.
Ili kujisafisha na kusafisha report hawana namna itabidi wamuachie, but hii ni set up tu
 
Punguani hiyo ni copy and paste, by the way unataka kingereza changu kikusaidie nini.
 

Yeri
MGANGA WA KIENYEJI SIJUI HATAFICHA WAPI USO WAKE Yericko Nyerere sijui anajiskiajee

Safii twende mtaani tuwapelekee motoo akina Chakware
 
Kwa hyo leo mahakama haijasikiliza maelekezo kutoka juu?
usiwe kama hukwenda shule, kama katika normal /natural mathematics mtu anasema 1+1=3, lazima tuseme kuwa hiyo siyo kweli. Ndicho kinachofanywa na mahakama. Leo kweli 1+1=2.... hii ndiyo sahihi! tutalisema kuwa imetenda haki!
 
Chadema msijidanyanye, hukumu hio ili itambulike lazima isajiliwe kwa msajili. Kwa hivyo itachukua 2 years kusajiliwa na Msajili wa vyama vya siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…