Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

Hilo ndilo CHADEMA itawapasa walifanyie kazi kwa ufundi wote walio nao wakishirikiana na waTanzania wengine wote wanaotaka HAKI ndani ya taifa hili.

"CCM kuwa mshindi"? HAPANA. Kwenye hili sikubaliani nawe.

Kwa hali iliyopo sasa sioni CCM wakiwa na ushindi mahali popote, ndiyo maana njia pekee wanayotumia kila kona ni kutumia mabavu. Ulaghai nao siku hizi haufanyi kazi, kwa sababu waTanzania wanajuwa.
 
Ili CCM "washinde" nikaweka hizo quotation nikiwa na maana tofauti.
 
naam
 
Kwa mwandiko mbovu kama huu; wewe ukiwa karibu na CHADEMA tayari hiyo ni hasara kubwa sana kwa chama hicho.
 
Ni uduni wa fikra ndio unaotuongoza kuminya upinzani. Upinzani imara unafaida kubwa kwa CCM kuliko hata kwa wapinzani wenyewe. Kunapokosekana chama mbadala hata ndani ya CCM kuoneana kunaongezeka. Hofu ya kushindwa uchaguzi ndio kitu pekee kinachowasukuma wanaoshikilia dola kutenda haki, kuwajibika na kuwaheshimu wanachama wa vyama vyao na wananchi kwa ujumla yao. Ni hatari sana kuwa na viongozi wasio ogopa uchaguzi wala wananchi.
 
Well said.
 
Kwenye hesabu hyo hyo
Majibu ya rounding/approximation hayajawahi kufanana ni kila mtu na rounding yake

Kwenye regression of data, ni mara chache sana majibu kufanana..
Mnaiyogopa chadema mpka mliamia kuifungia.
 
Umeyasema yote kwa usahihi.

Sasa maumivu wataanza kuyasikia wote, hata hao waliokuwa wakiwafanyia kazi.

Huu ni mwanzo wa matumaini. mapya.
Naam, haki imefika na inashinda siku zote.
 
Furaha na Kicheko cha Mpito... kuna Faida gani kama 2029 sept au 2030 Jan CDM mnaenda fungiwa tena kupisha uchaguzi?

acheni kucheka cheka kama maandazi yaliokosa amira,mshapumbazwa mmepumbazika

Komaeni Lissu atoke na Muanze mikakati inayoeleweka ya kuhakikisha ujinga wa hivi haujirudiii

bora MFUTWE KABISA ila muwe mshaacha alama...kuogopa kufutwa ndo hiii inawafanya mkenue kenue saizi na mission ilokua planed.
 
Mh. Nyumbu kwani hao walishtakiwa na serikali?
Si ni nyie manyumbu mlishtakiana
Kwenye mahakama ya ccm na judge ccm siyo? Kwani msajili msaidizi wa vyama vya siasa naye ni nyumbu?
Upo uchi na unajificha kwenye nyasi za uwanja wa mkapa! Chawa mwandamizi utateseka sana safari hii.
 
Mbowe haendi mahakamani ila kwenye dira ya Samuya anahudhuria.
Mpuuzi huyo dalali. Nilijua Mbowe ni mpuuzi fulani baada ya ujio wa Lowassa cdm. Yaani chama serious kabisa kinaokota mgombea mchaf miezi miwili kabla ya uchaguzi?!
 
Kabisa, yaani sielewi mwanacdm yoyote anayefurahia huu usanii wa kitoto. Inatakiwa watu waonyeshe kuchukja hadi wanaotumia sheria kihuni wajue watu si wajinga tena.
 
CCM Wahuni sana, wamefanya hivi baada ya kujiweka madarakani
Jinsi walivyokuwa wahuni, kwenye ripoti ya Jaji Chande watakuja na uhuni mwingine dhidi ya CHADEMA.
 
Mwenyekiti Lissu naye aachiwe soon, hizi ni hatua za awali kuridhiana kitaifa. Maridhiano ni rahisi sana kufanyika katika njia kama hizi, nchi iko vizuri siasa zikifanyika kwa hoja kwa hoja, sera kwa sera, ndio ujenzi wa demokrasia imara katika mfumo wa vyama vingi
 
Nimegundua awamu ya JK ilitumia akili sana kuuacha upinzani ukue. Gharama ya kutokuwa na upinzani Tanzania ya leo ni kubwa sana kwa chama tawala. Naona kama ni rahisi ccm kusalia madarakani kwa miaka kadhaa mbele kukiwa na upinzani kuliko hili tulilolishuhudia.
 
Namwon lissu akiachiliwa bila masharti hii yote ni shinikizo kutoka bunge la ulaya
 
Hata sielewi... leo unasikia imeisha, mara unasikia shauri la msingi... ili mradi tu kutuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…