Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Mm ni simba lialia! Ila frankly speaking hao wazee akili zao hazitumiki sawasawa timu inafanya vzr wao wanaang'aika na katibu seriiously? Wanataka warud zama za bakuli au?
Sababu timu inafanya vizuri ndio WAHUNI wapore timu?!
Kama wanavyomsema 'MO' janja janja, hata hao jamaa nao 'Janja Janja' sana ni vile timu imeperform vizuri kwa misimu hii 3.
 
Porojoo hzo.
1721158631599.jpg
 
Simba imeona imeshindwa katika uwanja kuing'oa Yanga sasa wameamua kutumia wazee wahuni wanaojiita wana yanga kuudhofisha uongozi bora wa timu ya Yanga.

Wazee walipeleka shauri lao mahakamani la kupinga uwepo wa viongozi pale Yanga yaani injinia na wenzake huku wakidai eti hawatambui uwepo wala upatikanaji wao katika timu.

Swali ni je? Wakiachia ngazi wametuandalia viongozi watakaoweza kufanya kazi kama waliyokuwa wanaifanya akina Herisi?

Je timu ikifeli wataturuhusu tuwapige mawe hadi wafe?
Hapa busara inahitajika sema sijui sheria za FIFA kama zinaruhusu dola kuingilia michezo
 
Magoma shikilia hapo hapo janja janja fc😃😃😃
Mzaramo kalonga ubaya ubwela udugu umala 😀😁😄😃
 
Sijui ukweli wa hii taarifa lakini huwezi vitenganisha vilabu vya K'koo na migogoro ya wao kwa wao...
 
Back
Top Bottom