Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Wanajiita wana yanga huku wakitaka yanga ifeWazee hao ni wanachama wa timu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajiita wana yanga huku wakitaka yanga ifeWazee hao ni wanachama wa timu gani?
na siku zote timu hizi matatizo yanaanziaga hapo vibundaItakuwa wazee walitaka kupewa hela ya intimidation, Hersi akaleta kujua
Maamuzi ya MAHAKAMA YAHESHIMIWE!View attachment 3044226Wanachama wawili wa Yanga SC JUMA MAGOMA na GEOFREY MWAIPOPO walishinda kesi waliyofungua katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar mwaka jana mwezi Agosti. Kesi yao ilikuwa dhidi ya Baraza la wadhamini la klabu hiyo kuikabidhi klabu kwa mtu wasiyemjua wala asiyekuwa Mwanachama wakati kesi inafunguliwa mwezi Mei mwaka 2022 siku moja kabla ya uchaguzi mkuu wa klabu uliomuweka madarakani Rais wa Yanga Eng Hersi Said. Awali walifungua kesi hiyo Mahakama ya Wilaya ya Ilala iliyopo Kinyerezi jijini Dar, kabla ya kushauriwa kuihamishia katika Mahakama ya Kisutu.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.
Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa Yanga kipindi cha nyuma, kushitaki Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga (Injinia Hersi na wenzake) ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.
Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.
Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club hiyo.
Source: #MillardAyoUPDATES
====
Source nyingine:
Walipinga kutumika kwa katiba ya mwaka 2020 ambayo ilitumika kwenye uchaguzi Mkuu uliouweka uongozi uliopo madarakani wakisema katiba hiyo sio halali. Inasemekana RITA waliitwa kutoa ushahidi na wakasema wanaifahamu katiba ya mwaka 2011 ambayo ipo ofisini kwao na hiyo ya mwaka 2020 hawaitambui.
Baada ya kupata hukumu yao mwezi Agosti mwaka 2023 JUMA MAGOMA NA GEOFREY MWAIPOPO wameona hakuna utekelezaji wa hukumu hiyo hata baada ya kuwasilisha kwa wahusika wakaamua kufungua kesi ya kukazia hukumu ambapo itatolewa maamuzi mwezi Agosti tarehe 5 mwaka 2024, ili hukumu hiyo ianze kufanya kazi. Ambapo inategemewa Mkutano Mkuu wa Yanga kuitwa ambao utajumuisha WANACHAMA WOTE HAI sio wawakilishi wa matawi pekee (kama ilivyo sasa) na kwenda kwenye uchaguzi mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa klabu kwa kufuata katiba ya mwaka 2011.
Kama hili litatokea manake Eng Hersi na timu yake watakuwa wameondoshwa madarakani kwakuwa watakuwa wameingia isivyo halali.
Soka limehamia mahakamani...View attachment 3044226Wanachama wawili wa Yanga SC JUMA MAGOMA na GEOFREY MWAIPOPO walishinda kesi waliyofungua katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar mwaka jana mwezi Agosti. Kesi yao ilikuwa dhidi ya Baraza la wadhamini la klabu hiyo kuikabidhi klabu kwa mtu wasiyemjua wala asiyekuwa Mwanachama wakati kesi inafunguliwa mwezi Mei mwaka 2022 siku moja kabla ya uchaguzi mkuu wa klabu uliomuweka madarakani Rais wa Yanga Eng Hersi Said. Awali walifungua kesi hiyo Mahakama ya Wilaya ya Ilala iliyopo Kinyerezi jijini Dar, kabla ya kushauriwa kuihamishia katika Mahakama ya Kisutu.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.
Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi la Wazee wachache waliowahi kuwa Wazee wa Yanga kipindi cha nyuma, kushitaki Mahakamani likidai uwepo wa Viongozi wa sasa wa Yanga (Injinia Hersi na wenzake) ni batili na haujafuata Katiba ya Club hiyo.
Kutokana na Wazee hao kushinda kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inamaana kuwa Rais wa Yanga Injinia Hersi na Viongozi wenzake wanatakiwa kuachia ngazi na kukabidhi Ofisi kuanzia sasa.
Injinia Hersi alianza kuiongoza Yanga kama Rais miaka miwili iliyopita baada ya kushinda nafasi hiyo akiwa ni Mgombea pekee July 2022 na kumfanya kuwa Rais wa kwanza wa Yanga SC toka kuanza kwa mfumo mpya wa mabadiliko ambapo alitangazwa kuwa atakuwa madarakani kwa miaka minne ( hadi 2026 ) kwa mujibu wa Katiba ya Club hiyo.
Source: #MillardAyoUPDATES
====
Source nyingine:
Walipinga kutumika kwa katiba ya mwaka 2020 ambayo ilitumika kwenye uchaguzi Mkuu uliouweka uongozi uliopo madarakani wakisema katiba hiyo sio halali. Inasemekana RITA waliitwa kutoa ushahidi na wakasema wanaifahamu katiba ya mwaka 2011 ambayo ipo ofisini kwao na hiyo ya mwaka 2020 hawaitambui.
Baada ya kupata hukumu yao mwezi Agosti mwaka 2023 JUMA MAGOMA NA GEOFREY MWAIPOPO wameona hakuna utekelezaji wa hukumu hiyo hata baada ya kuwasilisha kwa wahusika wakaamua kufungua kesi ya kukazia hukumu ambapo itatolewa maamuzi mwezi Agosti tarehe 5 mwaka 2024, ili hukumu hiyo ianze kufanya kazi. Ambapo inategemewa Mkutano Mkuu wa Yanga kuitwa ambao utajumuisha WANACHAMA WOTE HAI sio wawakilishi wa matawi pekee (kama ilivyo sasa) na kwenda kwenye uchaguzi mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa klabu kwa kufuata katiba ya mwaka 2011.
Kama hili litatokea manake Eng Hersi na timu yake watakuwa wameondoshwa madarakani kwakuwa watakuwa wameingia isivyo halali.
Nifah Tate Mkuu Labani og Bantu Lady MIXOLOGIST zipompa NALIA NGWENA Carleen nini kinaendelea huko jangwani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shadeeya wee mtaniii hebu njoo hapa, ueleze nn shida? Kwani imekuajee?
Mbona ghaflaa sanaa? WoiiiiiiiihView attachment 3044223
Simba wanaingiaje hapo? Maana nimejaribu kusoma andiko lako sijaona popote wakiunganika na SimbaSimba imeona imeshindwa katika uwanja kuing'oa Yanga sasa wameamua kutumia wazee wahuni wanaojiita wana yanga kuudhofisha uongozi bora wa timu ya Yanga.
Wazee walipeleka shauri lao mahakamani la kupinga uwepo wa viongozi pale Yanga yaani injinia na wenzake huku wakidai eti hawatambui uwepo wala upatikanaji wao katika timu.
Swali ni je? Wakiachia ngazi wametuandalia viongozi watakaoweza kufanya kazi kama waliyokuwa wanaifanya akina Herisi?
Je timu ikifeli wataturuhusu tuwapige mawe hadi wafe?
Hapa busara inahitajika sema sijui sheria za FIFA kama zinaruhusu dola kuingilia michezo
Yeye anatangaza brand yake tu.GSM kwenye hili sakata yeye ni hana usemi
In Polepole's Voice, 'WAHUNI' waipora Wanachama 'Yanga' yao.Simba imeona imeshindwa katika uwanja kuing'oa Yanga sasa wameamua kutumia wazee wahuni wanaojiita wana yanga kuudhofisha uongozi bora wa timu ya Yanga.
Wazee walipeleka shauri lao mahakamani la kupinga uwepo wa viongozi pale Yanga yaani injinia na wenzake huku wakidai eti hawatambui uwepo wala upatikanaji wao katika timu.
Swali ni je? Wakiachia ngazi wametuandalia viongozi watakaoweza kufanya kazi kama waliyokuwa wanaifanya akina Herisi?
Je timu ikifeli wataturuhusu tuwapige mawe hadi wafe?
Hapa busara inahitajika sema sijui sheria za FIFA kama zinaruhusu dola kuingilia michezo
Amevurugwa huyoSimba wanaingiaje hapo? Maana nimejaribu kusoma andiko lako sijaona popote wakiunganika na Simba
Mpira wetu utakuwa na thamani siku Wales akitoka mDarakaniAmevurugwa huyo
Alikomwingizaga mama yakoAmekuingizia wapi? Mbele au nyuma mwiko?
Kabisa kwanza walishindwa nini kupinga awali mpaka wapinge saa hii ambapo timu inakiwasha?Mahakama na Mpira? Tusije tukafungiwa.
Lakini pia kila siku tunachangia hapa kufuata sheria na naunga mkono sheria zifuatwe.
Ila sema hao wazee ni kama wanga vile , wananchi tumeshazoea furaha wao togwa wanatia nzi.
🙏Ifike mahali waache janjajanja kwenye soka ili liendelee