Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Kabisa kwanza walishindwa nini kupinga awali mpaka wapinge saa hii ambapo timu inakiwasha?
Yapo maelezo..kesi ya muda mrefu tangu mwaka 2022..walipinga siku chache kabla ya ule uchaguzi uliowaweka madarakani akina Hersi
 
Attachments

  • Screenshot_20240716-223325_Instagram.jpg
    Screenshot_20240716-223325_Instagram.jpg
    818 KB · Views: 3
Media na wachambuzi waliwaweka mfukoni wakakalia taarifa za mwenendo wa kesi, leo wanashangaa kesi imetokea wapi
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Yapo maelezo..kesi ya muda mrefu tangu mwaka 2022..walipinga siku chache kabla ya ule uchaguzi uliowaweka madarakani akina Hersi
Ni kweli walipinga mwanzoni kabisa wakapeleka shauri lao mahakamani,je kama timu inafanya vizuri kuliko wakati mwingine wowote kwanini wasingeenda kuifuta kesi
 
Back
Top Bottom