Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Sikiliza wewe....Mda mrefu umepita; mifupa haiwezi kutoa majibu sahihi; kwa kifupi tu ni kuwaridhisha ndugu pamoja na kufunga mjadala.
Kwa wakristo, Huwa wananazikwa ndani ya jeneza la mbao.
Rate of decomposition ni very slow.
Nyama zinaanza kugeuka udongo labda kuanzia miaka mitano huko.
We unadhani mpaka zile mbao zioze ni leo.