Sikiliza wewe....Mda mrefu umepita; mifupa haiwezi kutoa majibu sahihi; kwa kifupi tu ni kuwaridhisha ndugu pamoja na kufunga mjadala.
Inategemea kama ni mifupa ndio iliathirika wanaweza pata chochote....Mda mrefu umepita; mifupa haiwezi kutoa majibu sahihi; kwa kifupi tu ni kuwaridhisha ndugu pamoja na kufunga mjadala.
Makosa yote atapewa marehemu; sidhani atakayechunguza atakuwa upande wa familiaInategemea kama ni mifupa ndio iliathirika wanaweza pata chochote....
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfahamu!?Stella Jamani 😢😢
Kama mifupa haikuathirika, ni kitu gani kitakutambulisha alijinyonga?; mwili wa mwanadamu ukiwa chini ukichangia na joto lililopo unakuwa mlaini kama mwili wa samaki kambale, na unaoza haraka sana.Sikiliza wewe....
Kwa wakristo, Huwa wananazikwa ndani ya jeneza la mbao.
Rate of decomposition ni very slow.
Nyama zinaanza kugeuka udongo labda kuanzia miaka mitano huko.
We unadhani mpaka zile mbao zioze ni leo.
Kwa wakristo (marehemu Stella), soil has got nothing to do with body decomposition.
Maana wanazikwa ndani ya jeneza la mbao.
Angekua Muislamu sawa.
Kwahiyo hata mimi hapa tumboni ninao bacteria 🦠 ambao nikifa wataanza kunishambulia?Kwani kinacho decompose mwili ni udongo??!!, ni bacteria ambao huanza ku decompose kuanzia tumboni kutoka nje.
Kunautofauti gani una mpiga mtoto viboko na una muumiza Kisha unamletea biscuit ale kilio na maumivu na haki ya Huyo mtu naweza sema inaweza kuhujumiwa Vile Vile...Makosa yote atapewa marehemu; sidhani atakayechunguza atakuwa upande wa familia
Mfano mzuri tu, ukiamka asubuhi sikilizia harufu ya mdomo; hiyo inamaanisha mwili ulikuwa unaoza ulipokuwa usingiziniKwahiyo hata mimi hapa tumboni ninao bacteria 🦠 ambao nikifa wataanza kunishambulia?
Wangekuwa wanamshtaki mtu na si taasisi kungekuwa na afadhaliKunautofauti gani una mpiga mtoto viboko na una muumiza Kisha unamletea biscuit ale kilio na maumivu na haki ya Huyo mtu naweza sema inaweza kuhujumiwa Vile Vile...
Africa ni Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea nguvu ya anayeshitakiwaWangekuwa wanamshtaki mtu na si taasisi kungekuwa na afadhali
NdioUnamfahamu!?
Pole sanaNdio
Joto ndani ya jeneza baad ya kufukiwa laweza fika 300 celciusKwa wakristo (marehemu Stella), soil has got nothing to do with body decomposition.
Maana wanazikwa ndani ya jeneza la mbao.
Angekua Muislamu sawa.