Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Napendekeza Hakimu huyo apandishwe cheo haraka sana .Ndiyo shida ya Taifa Letu, Jiwe amekuwa Mungu. Eti ndiyo Mwenye akili Pekee na Mwamzi wa kila Jambo. Shame on him!
Mahakimu wamekwishajua kwamba ili kupanda cheo ni kuwatumia chadema kama ngaziSasa hawa waende bungeni wasiitwe watoro?
Au waende mahakamani kuhudhuria kanda ya kesi zisizo na mwisho.
Watoe taarifa sehemu moja wapo ,sio kukaa kimya ,Sasa hawa waende bungeni wasiitwe watoro?
Au waende mahakamani kuhudhuria kanda ya kesi zisizo na mwisho.
Chadema hawajifunzi kwa yaliyompata Mh. Mbowe pamoja na Mh. Matiko?? hawakujua kama huu ni mwezi wa 11, na kwa kumbukumbu mwezi wa kumi na moja ndiyo mwezi uliomuumiza Mh Lema (Mbunge wa Arusha mjini), ndiyo uliomuumiza Mh Mbowe pamoja na Mh. Matiko?? Chadema kwa nini mnaruhusu mchawi wenu awafikie mapema???
Ni jambo la kwaida katika mashauri ya jinai. Mahakama hutoa arrest warrant pale mshtakiwa anapokiuka masharti ya dhamana. Mshakiwa hukamatwa ili aje aieleze mahakama kwa nini dhamana isifutwe kwa kukiuka mashartiWanasheria mpo humu tupeni elimu kidogo ikitokea nimekiuka masharti ya dhamana mahakama huwa inapaswa kunichukulia hatua gani? Nasubiri maelekezo.
Wanafanya mambo kihuni sana ,Chadema hawajifunzi kwa yaliyompata Mh. Mbowe pamoja na Mh. Matiko?? hawakujua kama huu ni mwezi wa 11, na kwa kumbukumbu mwezi wa kumi na moja ndiyo mwezi uliomuumiza Mh Lema (Mbunge wa Arusha mjini), ndiyo uliomuumiza Mh Mbowe pamoja na Mh. Matiko?? Chadema kwa nini mnaruhusu mchawi wenu awafikie mapema???