Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

Kiujumla tunachanganyana tu. Kule spika anasema huku mahakama kule uchaguzi na uenguaji yaani nchi hii ukichaa unaweza ukaongezeka! No longer at ease!
 
Hakuna mahakama, bali kuna mitume wa jiwe huko mahakamani. Hivyo wanafanya lolote ili kumfurahisha jiwe.
Ukijaribu walau kwa sekunde 3 tuu ukarudisha akili yako, unaona ni sawa kuvunja masharti ya dhamana?Unaona ni halali anayevunja masharti ya dhamana aachwe tuu? Hivi unajua kinachomkuta mtu wa kawaida anapovunja masharti ya dhamana? Unaona ni haki wachache wawe juu ya sheria?
 
Back
Top Bottom