ROMUARD KYARUZI
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 683
- 465
Mihimili yetu ya Executive,Bunge na Mahakama kushiriki kuangamiza na kufuta upinzani wananchi wengi wanasoneneka ,hamujasikia sauti za wananchi ambao wanaona ushindani ndio nguzo muhimu ya maendeleo na ustawi wa nchi yao