Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

Watoe taarifa sehemu moja wapo ,sio kukaa kimya ,

Halafu ionekane wameonewa

Wakati wanavunja sheria , wakienda mahakaman ,watoe taarifa bungeni ,vivyo hivyo waki attend bungeni watoe taarifa mahakaman , kukauka ni kuvunja utaratibu

Unauhakika sheria inafuatwa?
Naomba unijibu kwa ufasaha yafuatayo

1. Kesi ya Sugu alifungwa sheria ilifatwa

Nitakuuliza la pili jibu kwa ufasaha kabisa hili la kwanza.
 
Wanafanya mambo kihuni sana ,

Kuna ubaya gani kutoa taarifa

Mbona wengine hapo inaonesha wametoa taarifa

Wanalalamika uvunjaji wa sheria na taratibu , cha ajabu na wao wamekuwa wanakiuka hata sheria ndogo ndogo

Haya ndio yamesababisha lissu apoteze ubunge,

Kuna tatizo gani kutoa taarifa kwa email , simu, au barua ,?

Kina uhuni zaidi ya kubamkia watu kesi?

Nani alifyatua bunduki kumuuwa Akwiline?
 
Ni jambo la kwaida katika mashauri ya jinai. Mahakama hutoa arrest warrant pale mshtakiwa anapokiuka masharti ya dhamana. Mshakiwa hukamatwa ili aje aieleze mahakama kwa nini dhamana isifutwe kwa kukiuka masharti
chadema someni hiyo.
Nadhani wanatafuta publicity au public sympathy.
 
Tuendelee kudumisha amani Ndugu zangu Watanzania

Amani kwenye massive incarcerations?

Na incarcerations inatokea kwa viongoZi waliochaguliwa na wananchi ambao ni direct opponents wa Mawe!

Hakuna amani!

Kungekua na amani usingesema “tudumishe amani” to begin with!
 
Nawashangaa CCM Katibu mwenezi wenu anaweweseka na nini? Eti ooh sijui watu wamepanga kushitaki ktk nchi za kimataifa, eti ooh tunaomba Mataifa ya nje huko mtakako shitaki wasiingilie mambo ya nchi yetu hahaa.

Kwa nini kutupangia sisi cha kufanya? Mbona ninyi mmewapangia wasimamizi wafunge ofisi na kutokomea Maporini kujificha?Halafu mkawaelekeza kuengua wagombea wote wa upinzani. Kwani sisi tulibugudhi?

Pia mkawaagiza wawatangaze maeneo mengi mmeshinda bila kupingwa kwani sisi tuliwaingilia maamuzi yenu? Kwa nini mnataka kutupangia sisi wananchi sasa cha kufanya baada ya ninyi kukimbia uwanjani?

Kwa nini mnaogopa tusiende kuwaeleza mataifa ya kigeni mnayo yafanya? Mkapa amesema ninyi ccm Mlikwapua pesa za EPA na kuua watu huko Zanzibar. Hivi sasa mmepora Demokrasia mnateka, mnaua, unatisha watu, mnapoteza watu, mnapiga risasi watu. Hamtaki tuwaeleze madhira mnayo yafanya?

Polepole ameacha kazi yake ya uenezi amejigeuza Msajili wa vyama vyama vya Siasa. Anatueleza hajui uongozi wa CHAUMA na hajaona wakichukua fomu kushiriki uchaguzi. Mara ooh kama wameonewa waende mahakamani. Hivi wew polepole hata uelewa wako ni polepole sanaa. Mtu aliyeshindwa kujaza fomu nyepesi tuu ya kuomba uongozi serikali za Mitaa anawezaje kujaza mafomu ya Magumu ya kukata rufaa?

Watanzania sio wajinga, tupo imara kukabiliana na Pimbi yeyote yule atoke Ndani au nje ya nchi anayetaka kupora uhuru wetu. Tutaenda Dunia nzima kuwaeleza ukatili mnao ufanya na kuweka ushahidi vizuri.
 
Wanafanya mambo kihuni sana ,

Kuna ubaya gani kutoa taarifa

Mbona wengine hapo inaonesha wametoa taarifa

Wanalalamika uvunjaji wa sheria na taratibu , cha ajabu na wao wamekuwa wanakiuka hata sheria ndogo ndogo

Haya ndio yamesababisha lissu apoteze ubunge,

Kuna tatizo gani kutoa taarifa kwa email , simu, au barua ,?
Kwa kesi ipi kwa mfano
 
una uhakika kwamba hawakutoa taarifa ?
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana.

Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime Vijijini, Christopher Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini na Halima Mdee Mbunge wa Kawe.

Amri hiyo imetolewa leo Novemba 15, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia washtakiwa hao kutofika Mahakamani hapo wakati kesi yao ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa bila ha kuwepo taarifa zozote kutoka kwao wala wadhamini wao.

Michuzi Blog
Nionavyo mimi kama yanayo wapata hawajamaa ndio ingekuwa ni hao Wanaojiona wenchi kuliko wengine wangekuwa wamekwisha lakini hawa wananguvu yawanchi ndiomaana wapo pamoja nakufanyiwa vurugu wanaokopwa kwenye uchaguzi ifikie mahali mkubali wadadisi mlikuwa mnapendwa nawasiokuwa wasomi na wazee sasa wamekwisha idadi yao nindogo kubalini mabadiliko vinginevyo mtaishia the hg
 
Mjengoni Mbowe anaambiwa ni mtoro du kazi ipo CCM oyeee

Halafu waandishi wa magazeti Tanzania wanamnukuu Spika wa Bunge kuwa kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ni mtoro ameshindwa kumuuliza Waziri Mkuu maswali ya papo kwa hapo.

Wakati waandishi wa habari wa magazeti wanajua wabunge wote wa CHADEMA wamefunguliwa kesi ili kuwadhoofisha kisiasa na waandishi wa habari hawajui wanatumika ikiwa taarifa hiyo ya Spika haitaongezwa kwa angalizo kuwa wabunge wengi wa CHADEMA wanashindwa kufika bungeni kutokana na kesi kibao sizizo na kichwa wala miguu.
 
Vyama vya upinzani vitaleta vita nchini.

Courtesy: Somo la uraia 1990.
 
Kesi yamsingi inasemaje?

Upumbavu huu ulitumika mwanzoni mwa mauaji ya Daud Mwangosi

Mungu akasaidia picha zikasaidia watu wasifungwe maisha au wasinyongwe

Lakini teyari ilitangazwa Chadema wamefanya mauwaji ya mwanahabari Daud Mwangosi.....Nyororo Iringa.

Jadili hizi scenario za kesi mbili kwa kuzingatia

1. Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

2. Sheria za umiliki silaha hadharani Tanzania
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana.

Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime Vijijini, Christopher Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini na Halima Mdee Mbunge wa Kawe.

Amri hiyo imetolewa leo Novemba 15, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia washtakiwa hao kutofika Mahakamani hapo wakati kesi yao ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa bila ha kuwepo taarifa zozote kutoka kwao wala wadhamini wao.

Michuzi Blog
Maendeleo yana vyama
 
Tena leo ijumaa iliwalale ndani mpaka jtatu

Kule hai yupo ndani Lema

Bado miaka 5 atamaliza muda wake.

Je hawa wahalifu wanaotekeleza maagizo itakuwa nini kwao?
hatar Kwakweli
 
Halafu Wanakuja Wapumbavu Fulani Wanakwambia CCM haijafanya lolote
Uko sahihi kabisa, hata mimi siwezi kuwaunga mkono kwani ccm imefanya mengi sana ikiwa ni pamoja na kuua demokrasia, kueneza ufisadi, kuteka watu na kuwapotezea pamoja na kufukarisha nchi.

Kwa kweli imefanya makubwa mno na wananchi wa Tanzania hawatakaa waisahau daima. Ccm is more than a bogus entity that deserves to be rested in a limbo.
 
Kada wetu wa CCM huyu bana si mchezo - alishaapa ni lazima awafunge ili wajifunze kuheshimu sheria za nchi.
 
Unauhakika sheria inafuatwa?
Naomba unijibu kwa ufasaha yafuatayo

1. Kesi ya Sugu alifungwa sheria ilifatwa

Nitakuuliza la pili jibu kwa ufasaha kabisa hili la kwanza.
Ndio hoja iliyopo hapa?

Anzisha Uzi kuhusu kesi ya Sugu
 
Back
Top Bottom