Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

Mahakama yaamuru wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa kukiuka masharti ya dhamana

Ndio hoja iliyopo hapa?

Anzisha Uzi kuhusu kesi ya Sugu

Unaelewa maana ya neno kufata sheria?
Au ulikurupuka bila kujuwa maana yake kwa upana wake?

Jibu swali

Unauhakika sheria inafuatwa?
Naomba unijibu kwa ufasaha yafuatayo

1. Kesi ya Sugu alifungwa sheria ilifatwa

Nitakuuliza la pili jibu kwa ufasaha kabisa hili la kwanza.
 
Endelea kutetea uvunjifu wa sheria halafu mseme mmeonewa
👇
Unauhakika sheria inafuatwa?
Naomba unijibu kwa ufasaha yafuatayo

1. Kesi ya Sugu alifungwa sheria ilifatwa

Nitakuuliza la pili jibu kwa ufasaha kabisa hili la kwanza.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana.

Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime Vijijini, Christopher Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini na Halima Mdee Mbunge wa Kawe.

Amri hiyo imetolewa leo Novemba 15, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia washtakiwa hao kutofika Mahakamani hapo wakati kesi yao ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa bila ha kuwepo taarifa zozote kutoka kwao wala wadhamini wao.

Michuzi Blog
Ni kwa nini hawa watu hawapendi kufuata utawala wa sheria? ajabu kabisa halafu unakuja kulalama kuwa kuna uonevu , ni nchi gani duniani isiyofuata utawala wa sheria .Ndio maana hata demokrasia hawana hata katika vyama vyao.
 
Wabunge wa Chadema saa zingine wanafanya upuuzi sana
 
Ni kwa nini hawa watu hawapendi kufuata utawala wa sheria? ajabu kabisa halafu unakuja kulalama kuwa kuna uonevu , ni nchi gani duniani isiyofuata utawala wa sheria .Ndio maana hata demokrasia hawana hata katika vyama vyao.

Tungekuwa tunaheshimu utawala wa sheria

1. Waliochafua uchaguzi wa serikali za mitaa wote wangeshikishwa adabu

2. Waiouwa mwangosi ....

3. Walimuuwa mawazo .....

4. Mwaliompoteza Azory

5. Waliomua muuza magazeti....Ally zonal

6. Walimuuwa mwekiti Usaliver arusha

7. Waliouwa soweto Arusha

8. Waliompiga Tundu Lisu risasi


Nknk

Tungeona hawa wahanga wakitendewa haki kisheria.
 
Kulikuwa na haja gani sasa Nyerere na wenzake kudai Uhuru wa bendera?.
Niliongea na mzee mmoja nilimuuliza maswali mengi ikiwemo na hili: Mzee wakati wa utawala wa mwingereza uliwahi kulala selo?
Akasema no.
Nikamuuliza tena je, amewahi kufanyishwa kazi bila ujira, akajibu no.
Akasema unajua Mjukuu wangu sisi tulidai Uhuru ili tu tuone tukitawaliwa na mtu mweusi ila si kwamba tulikuwa tunanyanyaswa.
 
Chadema hawajifunzi kwa yaliyompata Mh. Mbowe pamoja na Mh. Matiko?? hawakujua kama huu ni mwezi wa 11, na kwa kumbukumbu mwezi wa kumi na moja ndiyo mwezi uliomuumiza Mh Lema (Mbunge wa Arusha mjini), ndiyo uliomuumiza Mh Mbowe pamoja na Mh. Matiko?? Chadema kwa nini mnaruhusu mchawi wenu awafikie mapema???
Mchawi akikupania atakusubiri hata ukitoka kanisani. Wabunge hao ni binadamu, kesi ya miaka miwili hawawezi kukosa dharura shida ni kuwa wanaviziwa kila dakika.
Ila namuonea huruma sana anaye watuma maana anazidi kuwapa watu sababu ya kuja kuondoa kinga kwani anajenga uadui kuliko yeyote wa watangulizi
 
Jana bungeni hawakuwapo tunaambiwa wapo mahakamani. Lakini leo tunaambiwa mahakamani hawapo, wako wapi?
 
Why always negative! What is wrong with you man!

You sleep and wake up frastruated with our Presdent

Kipi unamfanya umchukie Rais wetu mpendwa?
Uchapa kazi wake! Uhodari wake wake kuipeleka Tanzania Katika uchumi wa kati?

This is unacceptable, Haiwezekani badilika

Otherwise you are robo,no human being can hate like that
Amani kwenye massive incarcerations?

Na incarcerations inatokea kwa viongoZi waliochaguliwa na wananchi ambao ni direct opponents wa Mawe!

Hakuna amani!

Kungekua na amani usingesema “tudumishe amani” to begin with!
 
Nimesononeka sana kuhusu hawa wabunge, kwa nini wanashindwa kuaga mamlaka? Kuandika barua ya udhuru nini kinakuwa kigumu hapo? Ok naomba wapewe onyo na wasamehewe watajifunza.
 
Why always negative! What is wrong with you man!

You sleep and wake up frastruated with our Presdent

Kipi unamfanya umchukie Rais wetu mpendwa?
Uchapa kazi wake! Uhodari wake wake kuipeleka Tanzania Katika uchumi wa kati?

This is unacceptable, Haiwezekani badilika

Otherwise you are robo,no human being can hate like that

Nina haki ya kua negative kama mambo ni negative kwa upande wangu na wanaonizunguka!

Nina haki hiyo kama wewe ulivyo na haki ya ku positive maana unaona mambo yanaenda vizuri kwa upande wako na wanakuzunguka!

I hate huyo rais kama wewe unavyompenda!

Kwanini mimi kumchukia au kua negative kuna ku-work out namna hiyo?

Maana mimi sikuhusu,chuki au upendo wangu hakuhusu kwa lolote!

Why do you care what somebody else is feeling of which is totally none of your business!
 
Watoe taarifa sehemu moja wapo ,sio kukaa kimya ,

Halafu ionekane wameonewa


Wakati wanavunja sheria , wakienda mahakaman ,watoe taarifa bungeni ,vivyo hivyo waki attend bungeni watoe taarifa mahakaman , kukauka ni kuvunja utaratibu
Wabunge wa Cdm wamechaguliwa na wananchi . Hicho ndicho serikali ya Ccm na vyombo vyake vya dola na vya maamuzi vinashindwa kujua .
 
Wanasheria mpo humu tupeni elimu kidogo ikitokea nimekiuka masharti ya dhamana mahakama huwa inapaswa kunichukulia hatua gani? Nasubiri maelekezo.

Dhamana inakufa kifo cha kawaida. Hivyo unarudi remande.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana.

Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime Vijijini, Christopher Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini na Halima Mdee Mbunge wa Kawe.

Amri hiyo imetolewa leo Novemba 15, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia washtakiwa hao kutofika Mahakamani hapo wakati kesi yao ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa bila ha kuwepo taarifa zozote kutoka kwao wala wadhamini wao.

Michuzi Blog

Kinachoendelea hapo ni udhihirisho wa CHUKI iliyopo kati ya Serikali ya CCM dhidi ya CHADEMA!
Yote haya yanafanyika kwa maelekezo maalum ya Rais Magufuli: Spika awashughulikie wapinzani ndani ya Bunge kwa kuwafukuza au kuwanyima kuwasilisha hoja zao na yeye Rais atawashughulikia huku nje/mtaani!
Leo Spika Ndugai kamwita Mbowe ni mtoro Bungeni wakti anajua Mbowe yupo Mahakamani Kisutu!
Hapohapo Hakimu Mkazi Thomas Simba wa Mahakama ya Kisutu anaagiza Wabunge 4 wa CHADEMA wakamatwe kwa utoro Mahakamani…!
This is brain and physicologically torturing to CHADEMA Chairperson and MPs stretagically planned by CCM Government to cripple CHADEMA!
 
Tena leo ijumaa iliwalale ndani mpaka jtatu

Kule hai yupo ndani Lema

Bado miaka 5 atamaliza muda wake.

Je hawa wahalifu wanaotekeleza maagizo itakuwa nini kwao?


Nini Jtatu umesasahau ya Matiko na Mbowe? Xmass iliwakuta Segerea na mwaka mpya ............... kuna kitu hakimu bado hakifaham hawa wamejiandaa kwa lolote kwa sawa tuu ila yana mwisho.
 
Back
Top Bottom