Watoe taarifa sehemu moja wapo ,sio kukaa kimya ,
Halafu ionekane wameonewa
Wakati wanavunja sheria , wakienda mahakaman ,watoe taarifa bungeni ,vivyo hivyo waki attend bungeni watoe taarifa mahakaman , kukauka ni kuvunja utaratibu
Wanafanya mambo kihuni sana ,
Kuna ubaya gani kutoa taarifa
Mbona wengine hapo inaonesha wametoa taarifa
Wanalalamika uvunjaji wa sheria na taratibu , cha ajabu na wao wamekuwa wanakiuka hata sheria ndogo ndogo
Haya ndio yamesababisha lissu apoteze ubunge,
Kuna tatizo gani kutoa taarifa kwa email , simu, au barua ,?
chadema someni hiyo.Ni jambo la kwaida katika mashauri ya jinai. Mahakama hutoa arrest warrant pale mshtakiwa anapokiuka masharti ya dhamana. Mshakiwa hukamatwa ili aje aieleze mahakama kwa nini dhamana isifutwe kwa kukiuka masharti
Tuendelee kudumisha amani Ndugu zangu Watanzania
Kina uhuni zaidi ya kubamkia watu kesi?
Nani alifyatua bunduki kumuuwa Akwiline?
[/QUOTE
What was the reason ya kufyatuliwa risasi?
Kwa kesi ipi kwa mfanoWanafanya mambo kihuni sana ,
Kuna ubaya gani kutoa taarifa
Mbona wengine hapo inaonesha wametoa taarifa
Wanalalamika uvunjaji wa sheria na taratibu , cha ajabu na wao wamekuwa wanakiuka hata sheria ndogo ndogo
Haya ndio yamesababisha lissu apoteze ubunge,
Kuna tatizo gani kutoa taarifa kwa email , simu, au barua ,?
una uhakika kwamba hawakutoa taarifa ?Wanafanya mambo kihuni sana ,
Kuna ubaya gani kutoa taarifa
Mbona wengine hapo inaonesha wametoa taarifa
Wanalalamika uvunjaji wa sheria na taratibu , cha ajabu na wao wamekuwa wanakiuka hata sheria ndogo ndogo
Haya ndio yamesababisha lissu apoteze ubunge,
Kuna tatizo gani kutoa taarifa kwa email , simu, au barua ,?
Nionavyo mimi kama yanayo wapata hawajamaa ndio ingekuwa ni hao Wanaojiona wenchi kuliko wengine wangekuwa wamekwisha lakini hawa wananguvu yawanchi ndiomaana wapo pamoja nakufanyiwa vurugu wanaokopwa kwenye uchaguzi ifikie mahali mkubali wadadisi mlikuwa mnapendwa nawasiokuwa wasomi na wazee sasa wamekwisha idadi yao nindogo kubalini mabadiliko vinginevyo mtaishia the hgMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana.
Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime Vijijini, Christopher Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini na Halima Mdee Mbunge wa Kawe.
Amri hiyo imetolewa leo Novemba 15, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia washtakiwa hao kutofika Mahakamani hapo wakati kesi yao ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa bila ha kuwepo taarifa zozote kutoka kwao wala wadhamini wao.
Michuzi Blog
Mjengoni Mbowe anaambiwa ni mtoro du kazi ipo CCM oyeee
Endeleeni kuwapa vichwa wabunge wenu wakiuke masharti ya dhamana. Mbowe kawaacha tayari.Hivi sasa hivi kuna ajabu gani mbunge wa Chadema kukamatwa ?
Maendeleo yana vyamaMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana.
Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime Vijijini, Christopher Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini na Halima Mdee Mbunge wa Kawe.
Amri hiyo imetolewa leo Novemba 15, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia washtakiwa hao kutofika Mahakamani hapo wakati kesi yao ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa bila ha kuwepo taarifa zozote kutoka kwao wala wadhamini wao.
Michuzi Blog
hatar KwakweliTena leo ijumaa iliwalale ndani mpaka jtatu
Kule hai yupo ndani Lema
Bado miaka 5 atamaliza muda wake.
Je hawa wahalifu wanaotekeleza maagizo itakuwa nini kwao?
SwadaktaNapendekeza Hakimu huyo apandishwe cheo haraka sana .
Uko sahihi kabisa, hata mimi siwezi kuwaunga mkono kwani ccm imefanya mengi sana ikiwa ni pamoja na kuua demokrasia, kueneza ufisadi, kuteka watu na kuwapotezea pamoja na kufukarisha nchi.Halafu Wanakuja Wapumbavu Fulani Wanakwambia CCM haijafanya lolote
Ndio hoja iliyopo hapa?Unauhakika sheria inafuatwa?
Naomba unijibu kwa ufasaha yafuatayo
1. Kesi ya Sugu alifungwa sheria ilifatwa
Nitakuuliza la pili jibu kwa ufasaha kabisa hili la kwanza.
Endelea kutetea uvunjifu wa sheria halafu mseme mmeonewaKina uhuni zaidi ya kubamkia watu kesi?
Nani alifyatua bunduki kumuuwa Akwiline?