ROMUARD KYARUZI
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 683
- 465
Kwa sababu unafahamu kuwa ni wapuuzi ndiyo maana huoni ajabu wakikamatwa au?Hivi sasa hivi kuna ajabu gani mbunge wa Chadema kukamatwa ?
Mahakama ziheshimikeMihimili yetu ya Executive,Bunge na Mahakama kushiriki kuangamiza na kufuta upinzani wananchi wengi wanasoneneka ,hamujasikia sauti za wananchi ambao wanaona ushindani ndio nguzo muhimu ya maendeleo na ustawi wa nchi yao
Nadhani uliongea na kichaa na wala si binadamu wa kawaida , unajua kodi ya kichwa watu walikimbia porini na mengineyo mengi au uliyekuwa unamuuliza ni katoto ka juziKulikuwa na haja gani sasa Nyerere na wenzake kudai Uhuru wa bendera?.
Niliongea na mzee mmoja nilimuuliza maswali mengi ikiwemo na hili: Mzee wakati wa utawala wa mwingereza uliwahi kulala selo?
Akasema no.
Nikamuuliza tena je, amewahi kufanyishwa kazi bila ujira, akajibu no.
Akasema unajua Mjukuu wangu sisi tulidai Uhuru ili tu tuone tukitawaliwa na mtu mweusi ila si kwamba tulikuwa tunanyanyaswa.
"We are not disobeying the laws but opposing the oppressive laws"Wanafanya mambo kihuni sana ,
Kuna ubaya gani kutoa taarifa
Mbona wengine hapo inaonesha wametoa taarifa
Wanalalamika uvunjaji wa sheria na taratibu , cha ajabu na wao wamekuwa wanakiuka hata sheria ndogo ndogo
Haya ndio yamesababisha lissu apoteze ubunge,
Kuna tatizo gani kutoa taarifa kwa email , simu, au barua ,?
Wewe hujielewi . Mbona kodi ya kichwa ilikuwepo hata awamu ya tatu . Awamu ya pili na ya tatu tulitawaliwa na Mfilipino?Nadhani uliongea na kichaa na wala si binadamu wa kawaida , unajua kodi ya kichwa watu walikimbia porini na mengineyo mengi au uliyekuwa unamuuliza ni katoto ka juzi
SIWANAFANYA UHUNI KWANI WALIKUWA HAWAJUIHivi sasa hivi kuna ajabu gani mbunge wa Chadema kukamatwa ?
Hawa wanajua CCM itakuwepo milele.Je hawa wahalifu wanaotekeleza maagizo itakuwa nini kwao?
Unalegeza pua lisu apoteze ubunge.risasi mlimpiga mumuuwe ili asiwe mbunge sembuse kumtoa kwa njia ya mahakama.kumbe damu ya Lisu mmeshiriki wengi sanaWanafanya mambo kihuni sana ,
Kuna ubaya gani kutoa taarifa
Mbona wengine hapo inaonesha wametoa taarifa
Wanalalamika uvunjaji wa sheria na taratibu , cha ajabu na wao wamekuwa wanakiuka hata sheria ndogo ndogo
Haya ndio yamesababisha lissu apoteze ubunge,
Kuna tatizo gani kutoa taarifa kwa email , simu, au barua ,?
Kichaa anaongea na takataka ngoja nikae kimya tu maaana nitaonekana na mie nafanana na taahiraWewe hujielewi . Mbona kodi ya kichwa ilikuwepo hata awamu ya tatu . Awamu ya pili na ya tatu tulitawaliwa na Mfilipino?
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana.
Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime Vijijini, Christopher Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini na Halima Mdee Mbunge wa Kawe.
Amri hiyo imetolewa leo Novemba 15, 2019 na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kufuatia washtakiwa hao kutofika Mahakamani hapo wakati kesi yao ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa bila ha kuwepo taarifa zozote kutoka kwao wala wadhamini wao.
Michuzi Blog
Hii nchi hivi sasa imegawanyika vipande viwili, kimoja kikiwa cha watawala, wanaoamini kuwa wao ndiyo wenye hati miliki w nchi hii ya Tanzania na kundi la pili ni la viongozi wa upinzani ambao kila kukicha wao ni kubambikiwa kesi na Polisi zisizo na kichwa wala miguuKesi yamsingi inasemaje?
Upumbavu huu ulitumika mwanzoni mwa mauaji ya Daud Mwangosi
Mungu akasaidia picha zikasaidia watu wasifungwe maisha au wasinyongwe
Lakini teyari ilitangazwa Chadema wamefanya mauwaji ya mwanahabari Daud Mwangosi.....Nyororo Iringa.
Jadili hizi scenario za kesi mbili kwa kuzingatia
1. Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
2. Sheria za umiliki silaha hadharani Tanzania
Why always negative! What is wrong with you man!
You sleep and wake up frastruated with our Presdent
Kipi unamfanya umchukie Rais wetu mpendwa?
Uchapa kazi wake! Uhodari wake wake kuipeleka Tanzania Katika uchumi wa kati?
This is unacceptable, Haiwezekani badilika
Otherwise you are robo,no human being can hate like that
Nimesononeka sana kuhusu hawa wabunge, kwa nini wanashindwa kuaga mamlaka? Kuandika barua ya udhuru nini kinakuwa kigumu hapo? Ok naomba wapewe onyo na wasamehewe watajifunza.