Ukijaribu walau kwa sekunde 3 tuu ukarudisha akili yako, unaona ni sawa kuvunja masharti ya dhamana?Unaona ni halali anayevunja masharti ya dhamana aachwe tuu? Hivi unajua kinachomkuta mtu wa kawaida anapovunja masharti ya dhamana? Unaona ni haki wachache wawe juu ya sheria?