Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Ninavyojua hawawezi kamata tu mtu yeyote na kwenda kumpima mpaka watakapo pata tetesi kua anajihusisha na hayo mambo ndio wataenda mpima, iko sawa tu mdau usimind. ngoja watusafishie mitaa, nini kuwafunga? wangewapoteza kabisaa wasiwepo uraiani.
 
Kuna watu wangapi hapa tz wanateyesi hizo? Kuna boss mmoha mwarabu kazi yake kununua hao magay na kuwapa pesa na wanamjua why wamuache? Huyo ndio anaharibu vijana
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Picha zao tafadhali
 
Halafu naona Mange Kimambi anawatafutia hifadhi kwenye ubalozi wa Marekani?Nacheka tu mwenyewe ,hawa wakienda Marekani watarudi wenyewe ,kule hakuna uswahili na lazima ufanye kazi yaani ushoga haikupi pesa ni part ya starehe tu
 
Back
Top Bottom