Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Ninavyojua hawawezi kamata tu mtu yeyote na kwenda kumpima mpaka watakapo pata tetesi kua anajihusisha na hayo mambo ndio wataenda mpima, iko sawa tu mdau usimind. ngoja watusafishie mitaa, nini kuwafunga? wangewapoteza kabisaa wasiwepo uraiani.
Kumpima mtu ni ile kujiridhisha tu ila hao tayari hukumu ipo, huko wanaenda tu ili taratibu zikamilike
 
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Sawa hakuna tatizo.
 
Back
Top Bottom