Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kumbe mashetani mpo?This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mashetani mpo?This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Na alivyolegea Noel siku umkute karudia ukakamavu utajua kuna ishara na miujizaKusaidiwa sidhani aiseee..wameshaonja vya kuonja... hawawezi kuacha..
Wanaowaingilia hao wanaume wenzao na (Kuwalawiti)ni WAMAMA? Si ni nyie WANAUME ndio mnaowaharibu wanaume wenzenu?Sio mtihani, hili tatizo hukuzwa na wamama.
Hata humu ukiangalia watetezi wengi ni wanawake
Mashoga wote kampani yao ni wanawake
Hakuna Baba anaweza vumilia kuona mtoto wake ni shoga.
Mimi ninamtizamo tofauti,ingawa labda tafsiri au tunavoelewa kila mtu atasema vyake.Mimi wao kupimwa na police sioni shida kwani ndio kazi ya jeshi la police,watu wanapimwa ulevi ,madawa ya kulevya ,mimba ,DNA nk.Issue inakukuja kwa kuwa waliokamatwa ni watu maarufu na wanapimwa nini.Tusubiri ,kama hawafanyi wataachiwa huru kama wanafanya sheria za nchi zinasemaje juu ya tukio hilo.Mi najua sheria za nchi hazijabadilishwa na zinakataza mwanaume au mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile au mwanaume kujifanya mwanamke kwa namna ya maumbile na vitu vinavyofanana na hivyo.Cha msingi kama mnataka kuwatetea mpige kelele sheria ibadilishwe au irekebishwe ,vinginevyo tuache polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria.Kwa wanaosema kuhusu report ya CAG kuwa kuna mafisadi na hawashughulikiwi,nimegundua watanzania kuna vitu vingi hawaelewe wala hawasomi.Report ya CAG /Audior huwa inatoa observations/findings zao kwa hoja amabazo hazikuwa na viambatanishi kwa wakati huo mpaka wanafunga ukaguza.Wahusika wanapewa muda wa kujibu hoja na ma kuimpliment recomendations za CAG/Auditor so uwezi kumpeleka mtu mahakamani au kumwita fisadi kwa report ya auditor inatakiwa iende step ya pili ya uchunguzu (TAKUKURU,POLISI KWA ajili ya uchunguzi nk) ndio useme hii ilikuwa ufisadi,wizi nk.Kuna kipengele kwenye audit kinasema kuwa "sio kazi ya auditor ku detect froud" lakini anaweza kusema hapa tunamashaka na taratibu za kisheria na zakiuchunguzu zikafuatwa wahusika wakawajibishwa.Shida ya sisi watanzania tunakurupushwa na matukio bila kuhoji taratibu na sheria zinasemaje na busy kulaumu tuuuuu
Yani huyo dogo haina hata haja ya kumpima ukimona tu hata anavyoongea unajua ni punga.Na alivyolegea Noel siku umkute karudia ukakamavu utajua kuna ishara na miujiza
Yanakera sanaHapo tu kuharibu wengine ndo nakosa huruma nao
Wanaume wafutike tu Duniani[emoji849]Wanaowaingilia hao wanaume wenzao na (Kuwalawiti)ni WAMAMA? Si ni nyie WANAUME ndio mnaowaharibu wanaume wenzenu?
Nyie Wanaume ni viumbe wa ajabu.. haijawahi tokea Duniani
Wengi njaa zinawaponza.Wafiraji nao ni mashoga. Mfiraji na mfirwaji wote ni mashoga.
Straight man hawezi kumtamani mwanaume mwenzake hata siku moja.
Hivi kumbuka nae ni mchicha mwiba??Kuna wale Mashoga wanaojinadi hadharani akina James Delicious, Juma Lokole na somebody Kumbuka nao wapimwe vinyeo vyao, kama havina marinda wafungwe haraka sana. Maana hao ndiyo kichocheo kikubwa cha huu Umaajinuni...
Exactly maana wao ndio wameleta huu ULIWATWI/USHOGA/UBASHA hawa Viumbe wana laana ya Peke yao☹️☹️☹️Wanaume wafutike tu Duniani[emoji849]
Apostle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SIYO TU USHOGA PIA WALE NDUGU ZETU WANAOFIRA WANAWAKE.
NA WAO WAIINGIZWE KUNDI LA MASHOGA
IKIGUNDULIWE MTU UUMME UNA MAVIMAVI AFUNGWE
Hapa ni eitha,Watapelekwa jela ya wanaume au Wanawake
Ushoga ni kinyume cha sheria za nchi.Wamefanya kosa gani?
Khaaa yaan mwanaume unashabikia ushoga,imagine baba zetu wangekua hivo si ajabu leo usingekuwepo hapa.Ni vitendo ambavyo havikubaliki na wanaofanya lazma wabughudhiwe.Mnataka kutuletea taifa lenye nguvu kazi gani.?Nendeni Mkaishi MarekaniThis is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?