Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Sio mtihani, hili tatizo hukuzwa na wamama.
Hata humu ukiangalia watetezi wengi ni wanawake

Mashoga wote kampani yao ni wanawake

Hakuna Baba anaweza vumilia kuona mtoto wake ni shoga.
Wanaowaingilia hao wanaume wenzao na (Kuwalawiti)ni WAMAMA? Si ni nyie WANAUME ndio mnaowaharibu wanaume wenzenu?

Nyie Wanaume ni viumbe wa ajabu.. haijawahi tokea Duniani
 
Mimi ninamtizamo tofauti,ingawa labda tafsiri au tunavoelewa kila mtu atasema vyake.Mimi wao kupimwa na police sioni shida kwani ndio kazi ya jeshi la police,watu wanapimwa ulevi ,madawa ya kulevya ,mimba ,DNA nk.Issue inakukuja kwa kuwa waliokamatwa ni watu maarufu na wanapimwa nini.Tusubiri ,kama hawafanyi wataachiwa huru kama wanafanya sheria za nchi zinasemaje juu ya tukio hilo.Mi najua sheria za nchi hazijabadilishwa na zinakataza mwanaume au mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile au mwanaume kujifanya mwanamke kwa namna ya maumbile na vitu vinavyofanana na hivyo.Cha msingi kama mnataka kuwatetea mpige kelele sheria ibadilishwe au irekebishwe ,vinginevyo tuache polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria.Kwa wanaosema kuhusu report ya CAG kuwa kuna mafisadi na hawashughulikiwi,nimegundua watanzania kuna vitu vingi hawaelewe wala hawasomi.Report ya CAG /Audior huwa inatoa observations/findings zao kwa hoja amabazo hazikuwa na viambatanishi kwa wakati huo mpaka wanafunga ukaguza.Wahusika wanapewa muda wa kujibu hoja na ma kuimpliment recomendations za CAG/Auditor so uwezi kumpeleka mtu mahakamani au kumwita fisadi kwa report ya auditor inatakiwa iende step ya pili ya uchunguzu (TAKUKURU,POLISI KWA ajili ya uchunguzi nk) ndio useme hii ilikuwa ufisadi,wizi nk.Kuna kipengele kwenye audit kinasema kuwa "sio kazi ya auditor ku detect froud" lakini anaweza kusema hapa tunamashaka na taratibu za kisheria na zakiuchunguzu zikafuatwa wahusika wakawajibishwa.Shida ya sisi watanzania tunakurupushwa na matukio bila kuhoji taratibu na sheria zinasemaje na busy kulaumu tuuuuu

Ndo mana nasema jf bila DEGREE HI HOVYO

ONA HUU MWANDIKO
 
Kuna wale Mashoga wanaojinadi hadharani akina James Delicious, Juma Lokole na somebody Kumbuka nao wapimwe vinyeo vyao, kama havina marinda wafungwe haraka sana. Maana hao ndiyo kichocheo kikubwa cha huu Umaajinuni...
 
This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Khaaa yaan mwanaume unashabikia ushoga,imagine baba zetu wangekua hivo si ajabu leo usingekuwepo hapa.Ni vitendo ambavyo havikubaliki na wanaofanya lazma wabughudhiwe.Mnataka kutuletea taifa lenye nguvu kazi gani.?Nendeni Mkaishi Marekani
 
Ukiona umekamatwa na kwenda kufanyiwa vipimo ujue kuwa una chembe chembe za hayo mambo haiwezekani wewe upo njema ukakamatwa na kwenda kufanyiwa vipimo haiwezekani


Hawa jamaa ni kero acha wachukuliwe hatua kuhusu ripoti ya CAG yote hayo kero acha waanze na hilo la USHOGA alaf la CAG linafata hakuna tunacho kihitaji hapo
 
Back
Top Bottom