Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Yaani hata ukikutwa una marinda bado unakuwa utu na uanaume wako unakuwa umetiwa doa, watu waki imagine ulivyopimwa. Hii sheria ina udhalilishaji ndani yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nazan wangekuwa wanawakamata kimya kimya na kuwapima kimya kimya,ikigundulika hana marinda ndo iwekwe wazi
 
This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
759ACD5E-4A6B-49C3-9714-D6B59B05940E.jpeg
 
Hao machoko wapelekwe gereza la maweni au kiberege teena wawe peke yao wagonge mawe, na kulima mpk viuno vonakaza shenzi hao..Ulishawahi kuona mtu anaachiwa mahakamani alafu anakimbia mita, ndio hao iwakute hali hiyo
Unajua umetoa wazo zuri sana.
Hapo wanasaidiwa na kulisaidia taifa.
Maza kama utapitia hapa hebu mkaliangalie na hili.
 
This is unacceptable, tumeanza lini inchi kuwa hivi?? This is state failure, ushoga wake ww una kuhusu nini?
Hehe. Team Mange, nasikia anasema ushoga wa mtu nyie unawahusu nini. Cha msingi kila mtu alinde spika zake na za fam yake.

Lakini mnasahau wanavyojihalisha wazi wazi wanaharibu na jamii pia. Kuna wengine wataona ni kitu ya kawaida nao watatest.

Em jiulize angekuwa ni ndugu yako? Ungeiona ni hali ya kawaida? Nadhani jibu ni hapana.
Utaona ni hali ya kawaida kama nawe wanakupumulia.

Jitahidini msilete ushetani wenu hadharani
 
Tatizo wa hawa machoko yaani hawawezi kutulia wakikaa sehemu wanataka wajulikane na watu wajue uchoko wao ni kitu cha kawaida hii haikubaliki wanatuambukizia watoto wetu Ufilauni wao.
Upo sahihi kabisa, yan unakutana na punga lakini utashangaa linajiona la maana sana kuliko hata wewe mwanaune kamili.
Na utashangaa yasivyo na aibu sasa yanakutongoza kabisaa.🤢
 
Back
Top Bottom