reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Sahihi sanaaaKwakuwa sio star, halafu ni Mzanzibar na dini ileeee... hawajui kipimo unachopimia wenzako iko siku na wewe utapimiwa hawakujua hili ttizo halina udini , ukanda wala ukabila ni tatizo la kitaifa kwa ujumla.