Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Wanaharibu sana hasa vijana na watoto, mwaka jana kuna mmoja alikamata mchana kweupe akifanywa na mwanafunzi wa form 4. Alimdanganya kwa kumtoa out na kumpa elfu 20 😔. Mama Mwenye nyumba yake ndie alieshtukia mchezo baada ya kusikia sauti za ajabu.
Yaani jamaa wanajua kutongoza mno ili tu watimize lengo lao.
 
Kutuhumiwa kwani ni kosa ? Subiri uchunguzi uishe.. maana hata wewe mtu anaweza kukutuhumu umeiba kitu, lakini haikutii kwenye kosa hadi uchunguzi na ushahidi usio na shaka ndio utakutia hatiani au kukuweka huru..
Hawakukamati kireja reja hapo ni taratibu tu zinakamilishwa ila hukumu ni miaka 30
 
Back
Top Bottom