Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Halafu naona Mange Kimambi anawatafutia hifadhi kwenye ubalozi wa Marekani?Nacheka tu mwenyewe ,hawa wakienda Marekani watarudi wenyewe ,kule hakuna uswahili na lazima ufanye kazi yaani ushoga haikupi pesa ni part ya starehe tu
Sasa watapaa hadi huko?
Marekani haiwezi haribu sifa yake na Tz kisa wapumbavu wachache, wakati China anayemelea
 
Sasa lipi kwako muhimu ripot ushoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…