Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Shoga haathiri tozo wala kodi yangu na wala sijawahi kusikia kuwa Viongozi wa Chama cha Mashoga wamepora matrilioni ya fedha zetu za makusanyo ya kodi na tozo

Ila kila siku utasikia CCM imepora hichi imefungua akaunti China kuficha pesa za uporaji.
Kwa hiyo unataka kusemaje
 
Hakuna kitu kama hicho itakuwa inashangaza basi jibaba zima na kengele zake kujiingizia mivitu vitu mk****ni kama sio punga tena zoefu
 
We tulia siku yako yaja kale katoto kako ka miaka 17 katakuwa kashoga, tutakakamata na kukafunga miaka 30

Wewe naye kama ni shoga tutakukamata na kukufunga miaka 30

Msitake tuchezea hapa.
Mkuu mwanangu hawezi kuwa shoga nakukataza,nimemlea kwa misingi ya uwanaume...ila mimi kuna muda fantasy zangu ni kula mashoga..
 
Halafu naona Mange Kimambi anawatafutia hifadhi kwenye ubalozi wa Marekani?Nacheka tu mwenyewe ,hawa wakienda Marekani watarudi wenyewe ,kule hakuna uswahili na lazima ufanye kazi yaani ushoga haikupi pesa ni part ya starehe tu
Mpuuzi Mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…