reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Noo kwenye hili both parents are responsible brother[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazazi wakike hamuwajibiki ipasavyo kwenye malezi ya watoto mpo busy vikoba
Baba kua busy uwezavyo ila watoto wa kiume ni wa baba
Tabia ya kulaza watoto na Ndugu imeleta athari kubwa sana ktk jamii zetu
Wengi ukiskiliza na Mpk Leo wanalawitiwa na Ndugu zao au walikua wanalawitiwa na Ndugu zao