Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594645
Aione cocastic kwenye jalada
 
Tutako twenyewe sasa[emoji848]
Hata kama angekuwa nalo zuri kama hili lako Witnessj bado ni laana tu.

Me tumelaaniwa na nani hadi tuanze kupata ujasiri wa kuingiza uume kwenye mavi?

Mbona mnyama hakosei tundu nakati yanakaribiana kabisa?

Binadamu tuna utaahira sana kwenye bongo zetu
Screenshot_2023-04-21-08-14-25-97_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Back
Top Bottom