Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Haya mambo ya kupima watu wanavyofanyana kuna kipindi tutayaangalia kama kipindi cha kuonea aibu kabisa katika taifa letu.

Kwanza unampimaje mtu kwenye hili? Unatumia kipimo gani? Unajiridhishaje mtu yuko alivyo kwa maumbile yake tu au kwa ushoga?

Na kama yeye mtu mzima kaamua kumpa kinyeo chake mtu mwingine kwa hiyari yake, wewe inakuhusu nini?

Halafu basha naye unampimaje? Au yeye hapimwi?
 
ni atari sana yani ukikuta mwanamke anatetea hawa taka jua kabisa hilo ni changudoa lililo komaa pia linaingiliwa kinyume na maumbile bila kusahau limetoa mimba nyingi sana yani lina roho ya kishetani ndani yake kwani hata mnyama kamshinda ustarabu
Hajazaa labda na hajazaa wtt wa kiume hana ndugu wa kiume au hana mpango wa kuzaa..hiki kitu sio cha kutetea kabisa
 
Zamani tulizoea kusikia akina fulani tu.
20230421_112206.jpg
 
Hii nchi imekuwa kama ng'ombe anayezama kwenye matope. Kuna watu wanatuuza na tutapigwa na kitu kizito hatutakaa tuamini kilichotokea.

Tunapelekwa kwenye mazingira ambayo ni magumu sana, technically tunapelekwa kwenye mazingira ya kuhalalisha haya mambo.

Hii amri ikikatiwa rufaa Mahakama Kuu jamaa wakashinda na Jaji akaamua kufafanua hili jambo kwa undani, tutaangukia kwenye yaliyotokea Mahakama ya Kenya.

Ni muda tu utaongea.

Ni sawa na yanayoendelea ya viongozi wa dini kuitaka serikali ikemee ushoga, sasa mtu unajiuliza hiyo si ndio kazi ya dini kukemea maovu.
 
Tumetoka kwenye kupima mkojo tumehamia kwenye kupima Mafi,

Nilidhani kwa teknolojia tuliyonayo basi binadamu anapaswa kuwa na maisha mazuri zaidi yaliyostaarabika.

Kumbe ndio anazidi kuwa mjinga zaidi na kuwa na changamoto nyingi zaidi.

Ukikoswa koswa kwenye mkojo Sasa unapatikana kwenye Mafi.
 
Hawa Mashoga walijisahau sana!
Wakawa wanafanya Ufedhuri wao hadharani na jamii ikiona!

Kumbe wakati Uganda wanajiandaa kupitisha Sheria kali, sisi tayari tunayo! Ila tulikua hatuitumii tu.
 
Back
Top Bottom