Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Haya mambo ya kupima watu wanavyofanyana kuna kipindi tutayaangalia kama kipindi cha kuonea aibu kabisa katika taifa letu.

Kwanza unampimaje mtu kwenye hili? Unatumia kipimo gani? Unajiridhishaje mtu yuko alivyo kwa maumbile yake tu au kwa ushoga?

Na kama yeye mtu mzima kaamua kumpa kinyeo chake mtu mwingine kwa hiyari yake, wewe inakuhusu nini?

Halafu basha naye unampimaje? Au yeye hapimwi?
Nchi yetu hairuhusu mapenzi ya jinsia moja.Na jamii yetu haipendi.

Kwa hiyo kama leo hii mim mtu mzima nikiamua kutembea uchi niachiwe tu sbb ni kalio na kei yangu nimeamua ipigwe
upepo hata kama
inawakera wengine?

Hata wazungu wanapinga ushoga ni vile tu ishakua too late kwao,wanalazimishiwa kuukubali.
Acheni sisi tujaribu kuokoa jamii yetu kama mambo hayajazidi unga.
 

Attachments

  • FED6BB49-CF87-4184-A566-938BBD11D877.jpeg
    FED6BB49-CF87-4184-A566-938BBD11D877.jpeg
    104.1 KB · Views: 5
  • D347D2F4-F3D6-4538-B611-C259C65E3490.jpeg
    D347D2F4-F3D6-4538-B611-C259C65E3490.jpeg
    237.2 KB · Views: 5
  • 9FE15014-E06F-4491-BBD8-5061C91F25F8.jpeg
    9FE15014-E06F-4491-BBD8-5061C91F25F8.jpeg
    82.3 KB · Views: 5
  • 601A1BD8-08AA-49A0-98CE-C15201B68157.jpeg
    601A1BD8-08AA-49A0-98CE-C15201B68157.jpeg
    310.7 KB · Views: 5
  • 0378D1BB-B3F3-47BA-BA69-A49C90A9403D.jpeg
    0378D1BB-B3F3-47BA-BA69-A49C90A9403D.jpeg
    100.1 KB · Views: 5
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Huyu Mushi amefeli wapi aise.
 
Tuonyeshe hao viongozi unaowasema wakiwa wamejirecord na kupost wakikata viuno na kufanya uchafu mwingine wa kishoga tuwakamate.

Tunaanza na hawa hawa kina delicious walioota mapembe na kufanya huu ushenz hadharan
Mkuu nenda fish martket mida ya saa sita usiku pale utawakuta wengi pale sitaki kutaja vitu vyote nalinda usalama wangu nikamatwa hamtakuja kunisaidia
 
Back
Top Bottom