Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.

Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

View attachment 2594881View attachment 2594882
Mashoga lazima watete usenge huu ni Bora wapimwe tu...nimepitia comment humu nimeona mashoga wanatetea mashoga wenzao
 
Kuna mtu kasema ukitaka kujua unafiki wa Watanzania, sema kila mtu apimwe, hapo utaona.
of course, kuna siku hata wewe ambaye ni straight person, utapimwa, wataupekenyua huo unyuma wako. utafurahi? unatakiwa kuwepo utawala wa sheria ili yasitokee kama yale yaliyotokea kwa makonda kupima watu wazima mkojo hadi mwenyekiti alihangaika kweli asipimwe mkojo. au umesahau. hicho ndicho tunachosema.

hata hivyo, haya yote wanasababisha mashoga, wasingeleta ujinga wao hata yasingekuwepo. pia tumeyalea kwa muda mrefu sana, wale kina james, na hata huyo noel, mbona kitambo sana anajionyesha kama ni punga ila tulikuwa tunamwacha tu. pia, ifike pia mahali, hao mashoga wawekwe kitimoto vizuri wawataje wanaowaingilia, nao washitakiwe. hilo linawezekana, ujinga wao ni kwamba wanafungwa peke yao, wanatakiwa waseme wale wanaowaingilia ili wote waende jela. hapo ndio utakaposhangaa hadi viongozi wanakamatika. but everything kiende kwa utawala wa sheria (rule of law) ili vichaa wachache wasijetumia hiyo kama opportunity kuumiza wengine au hata kuomba pesa kwa personal interests.

imagine sasaivi mzee, mtu wa aina ya makonda anatuma watu kwako kwamba unatarajiwa kwenda kupimwa anus, ama la toa pesa fulani, utatoa au hautatoa? yaani mwanaume mwenzio anaenda kukuvua suruali na kuangalia anus yako, ndio walichofanya kina sabaya na makonda hayo. na wamepiga pesa sana chafu kama izo.
 
Tanzania haijasaini mkataba wowote wa kimataifa unaotambua sexual orientation. kama upo hapa huo mkataba uweke. pili, hata kwenye mikataba mingi ambayo huwa tunasaidi, huwa inakuwepo reservations kwenye baadhi ya mambo. ingeliuwa hivyo, kifungu cha 154 cha penal code kinachokataza kuingiliana kinyume na maumbile kisingekuwepo.
Kifungu cha kuingiliana kinyume na maumbile hakiko specific kwa watu wa sexual orientation fulani, kinawahusu watu wote. So that point kwenye habari ya sexual orientation ni moot.

Sexual orientation is more than just the sex act, it is a person's orientation.

Kuna mashoga hawafirwi, ila mambo yao ni kishogashoga tu.
 
Kiranga, tunajua sex aina moja tu, orientation zingine zote zitadondokea kwenye kuingiliana kinyume na maumbile, au kwa wanawake ule usagaji ni grave sexual abuse au matendo yanayofanana na hayo yapo na vifungu kabisa. sexual orientation gani unayoijua wewe ambayo haitadondokea kwenye makosa ya kujamiiana yaliyoainishwa kwenye penal code?
 
Ninapoandika orientation wewe unaelewa nini? Inaonekana una msamiati finyu sana kwenye haya mambo.
 
fafanua labda sijaelewa?
Sexual orientation ni namna mtu anavyo ji identify sexually.
Mifano

Gay = Mtu anayevutiwa na watu wa jinsia yake
Straight = Mtu anayevutiwa na watu wa jinsia tofauti na yake.

Hayo mambo ya sheria, if at all sheria is a compass on these matters (there is a separate debate on if immoral laws should be upheld, but we will get to that shortly), kwenye sheria yetu, hatuna sheria dhidi ya mashoga.

Kwa kuwa, ushoga si sex act, kuna watu wana feelings na watu wa same sex nao, lakini hawaja fanya hiyo sex act, kama vile ambavyo kuna watu wana feelings na watu wa different sex lakini hawajafanya hiyo sex. The fact kwamba hawajafanya hiyo sex act haibadilishi ukweli kwamba wao ni straight au gay. Kinachowafanya wao kuwa straight au gay ni feelings zao, sexual orientation.

Huko kwenye sheria, hizo anti-sodomy laws, haziko specific kwa the gay people, kwa sababu kuna wanaume wanawafira wake zao, wanawafira girlfriends zao, that is sodomy, they don't need to be gay to be subject to this law.

So you can have a straight person going against this anti-sodomy law, and a gay person who never violate this law.

So, hizo habari za kupimana kujua nani shoga ni shortsighted homophobia tu, hazina mantiki, wala hazielewi ushoga ni nini.
 
hayo hayapo kwenye mkataba wowote ambao Tanzania imesaini. being gay ni kuingiliwa kinyume na maumbile au kuingilia kinyume na maumbile, na kifungu cha 154 kimewacover wote.

kiranga wewe pia kumbe ni shoga?
 
Mwanamke anayeingiliwa matakoni na mwanamme wake ni shoga?

Inaonekana wewe huelewi hata ushoga ni nini, unachukulia ushoga kuwa ni sex act, wakati ushoga ni sexual orientation.

Mimi si shoga, ni mtu ninayefuatilia current events tu.

Huhitaji kuwa mtu mweusi kuelewa kuwa ubaguzi dhidi ya watu weusi ni kitu kibaya.

Watanzania wengi hawaelewi somo la individual rights.

Haya mambo ya rights za minorities wa sexual orientation yako covered under the Universal Declaration of Human Rights, watu washafungua kesi zilizoweka precedent na interpretatioin kwenye haya mambo, kuna kesi moja ilikuwepo Australia kama unataka nitakuwekea tuichambue hapa.
 
Universal declaration of human rights ni hii hapa, tuonyeshe sexual orientation ipo wapi. Nenda moja kwa moja Article 2
 
Attachments

Back
Top Bottom