Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai.

Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, mfanyabiashara na mwanasiasa, anakabiliwa na kesi ya uchapishaji taarifa za uwongo kwenye mitandao, ambayo upelelezi wake bado haujakamilika.

Hata hivyo Mahakama hiyo imepiga kalenda tena uamuzi wa maombi ya awali ya upande wa mashitaka ya kuzuia dhamana ya Boni Yai, ambao awali ilikuwa imepanga kuutoa Septemba 23 ikaahirishwa mpaka Septemba 26, ambapo pia Mahakama ilishindwa kuutoa baada ya Serikali kuomba kuwasilisha kiapo cha ziada.

Sasa Mahakama hiyo imepanga kutoa uamuzi huo wa maombi ya awali ya Serikali ya zuio la dhamana Oktoba 7, 2024.
 
Kuna figisu zitafanyika tena almradi tu Bony asiwe huru
 
Kwanini hakuitoa leo? Kuna nin nyuma ya pazia?
 
Serikali ,polisi na mahakama wote wanafanya hila Boniyai aendelee kusota mahabusu kwa muda mrefu iwezekavyo....

Right.

Kwa sababu kila Boniface Jacob akifungua mdomo wake kutokea kibarazani kwake au barabarani nchi inasikiliza. Boniface anahutubia Taifa.

Hana redio. Hana afisa habari. Hana hela. Hana You Tube TV. Hana bundle la bure kama mawaziri. Hana wachunguzi wala watafiti wa kumkusanyia takwimu. Hana lolote.

Lakini amechambua historia na undani wa masuala ya utekaji na mauji in the most excruating detail ever attempted by media or any officials in answering government critics.

Rais anasema critics wajibiwe. Wajibiwe na nani, Mchungaji Msigwa na Tulia Ackson ???
 
Back
Top Bottom