Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

Chadema toeni tamko kutotambua mahakama za nchi hii. Mbona mnachelewa?
 
Mahakama mbuzi
 
Lissu nimemuhurumia sana sana sana
 
Kama ww unaona Mahakama zina upendeleo mwingi!!!

kwanzia sasa fata Sheria za Jamhuri ili usijekujikuta upo chini ya Mahakama usizozipenda !!!

ukiwa uraiyani kichwa kinakuwa kikubwaa kelele nyingi siogopi Siogopi kitu.

Ukibwagwa Mahakamani unataka Dunia ijue matatizo yako. Fata Sheria au hatutaki kilio cha mtu mzima.
 
Bila shaka hii ni katika kulinda utambulisho za hao wanaoitwa mashahidi wa siri...
 
Wakati njia halali za Watu kuweza kupita ili kuzifikia HAKI zao zilizodhulumiwa inapofungwa, basi Watu hao watalazimika kupita katika njia haramu ili waweze kuzifikia Haki zao.

Aidha, kadiri uovu na udhalimu vinaposhamiri na kuzidi kikomo katika Nchi, hofu ya kifo huondoka na Watu wataamua kutumia njia yoyote ile watakayoona inafaa ili kudai na kupigania HAKI zao.
"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
By Martin Luther King Jr.


Naamini haitachukua muda mrefu sana mambo kama haya yatabakia kuwa historia.

Muda utaongea, let us wait and see!
 
Kangaroo courts in its best of All
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…