Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Iwe kweli au si kweli Vijana wengi hatujui Sheria za Utajiri wa kudumu, tunaishi Maisha extravagant sana... We like to be noticed
Mkuu fungua basi uzi wa hizi sheria ili tujifunze, itakuwa msaada sana kwa vijana wengi.

Ila maisha ya mtandaoni nimeamini kile niliambiwa, usiwaone hao wasanii wanatamba kwenye maredio, instagram n.k wengine hata mlo mmoja tu wa mbinde kweli kweli, imefikia wengine wamejiingiza kwenye michezo michafu sana, Harmonize milioni tatu kwa mwezi imemshinda? pole yake sana kwakweli.
 
Pesa za kiingilio siku ya uzinduzi wa albamu yake pAle mliman city alipeleka wapi?..Mana watu wazito wa hii nchi wote walikuwepo
✓ mwaposa
✓mama Samia
✓ mawaziri na viongozi wengine kibao...
Hao watu wazito huwa wanaongia bure kwa sababu wamealikwa kwa lazima na siyo kuja kwa mapenzi yao, kwa gharama zote za mwaliko ni lazima abebe mwenye shughuli yake!!
 
Rajab ni mtata kwenye hela za watu, sifa kibao na ulimbukeni bado haujamtoka.

Nikikumbuka vile tulipewa pesa na tajiri fulani pale .... casino tugawane, jamaa alivyoleta tamaa kutaka kuchukua hela mingi kuliko sisi shenzi kabisa.

Hallelujah!!!
 
Ina maana CRDB walimkopesha Hamonenga bila dhamana "collaterals"?. Kwenye hii hukumu haijaeleza Hamonenga aliweka nini zaidi kama dhamana ya mkopo wake! Pamoja na kuwa na "Goodwill" na wenda benki ilitaka kunufaika na umaarufu wake bado sio afya kumkopesha mtu bila dhamana. Maana hii ishu ingekuwa rahisi tuu, kupiga mnada mali zake. CRDB jirekebisheni.
 
Mkuu hiyo 32 sio pamoja na riba?

Hapo utavuta kama 18!
 
Ile nyumba ya engineer nani!
Kutwa kuvimba yake
Wasani tatizo wanaishi kwa kufake
Huyo sana sana madem wanamlia tu
Asione msambwanda huyoooo

Ova
Wanasemaga hizi ndo tabia za harmonize, hii picha nliona kule insta kwenye page ya jumalokole if am not mistaken, wazee ya kweli haya 😁 BICHWA KOMWE - Nifah mrangi Mzee wa kupambania
 
Waliambiwa wakope,komba mwenyewe pesa nyingi zilikuwa zinaishia kwa Totoz
Mkopo unataka nidhamu
Ngozi nyeusi mkopo hela hiyo anataka ahongee,anunue magari ya kifahari nk unafikiri kuna kutoboa hapo

Ova
inabidi bank waweke afidavit mtu akiri kwanza kama ana mwanamke mwenye msamwanda, vinginevyo ni kuharibu emage za makampuni tu, hivi unamkopeshaje mtu ana misururu ya mademu wenye makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…