Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Harmonise na Steven Nyerere ni matapeli wakubwa,nilikua na kagoli kangu hapo mbezi kwa zena enzi hizo najitafuta..nilikua nauza fresh meat na samaki,hao jamaa wakawa wateja wangu wa kuniungisha..mara ghafla wakaanza kunikopa..mpaka leo ni mwaka wa nne umepita Steve namdai laki 2 na 30 na harmonize namdai laki 6 na 50..wote hawapokei simu zangu hadi kesho.
 
Jamaa hata yule msanii wake wakike alikua analalamika anafanyishwa show ila halipwi
 
laki 8 na 80 ipo kwa wateja biashara yako inaendeleaje
 
Umenifanya nikaimba neno kwa neno, nimecheka.

Hawezi kukimbia hukumu, atalipa tu.
 
Nyama unauza kilo shiling ngap na imekuaje mpaka ikafika hiyo yote?
 
Usiamini kila unachokiona Mkuu, kila mmoja ana siri katika maisha yake.
 
Ila Harmonize ni mtata kwenye kulipa madeni, nakumbuka miaka kadhaa hapo nyuma amewahi kukimbia deni la kodi ya nyumba aliyokuwa akiishi huko Mbezi Beach kwa Mchagga mmoja kama 150 Milioni hivi.
Hata wakati wa kuondoka Wasafi alilipa nusu tu, halafu akatumia nguvu ya Pombe akaondoka bila kumalizia hela iliyobaki.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…