kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Harmonise na Steven Nyerere ni matapeli wakubwa,nilikua na kagoli kangu hapo mbezi kwa zena enzi hizo najitafuta..nilikua nauza fresh meat na samaki,hao jamaa wakawa wateja wangu wa kuniungisha..mara ghafla wakaanza kunikopa..mpaka leo ni mwaka wa nne umepita Steve namdai laki 2 na 30 na harmonize namdai laki 6 na 50..wote hawapokei simu zangu hadi kesho.