Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Harmonise na Steven Nyerere ni matapeli wakubwa,nilikua na kagoli kangu hapo mbezi kwa zena enzi hizo najitafuta..nilikua nauza fresh meat na samaki,hao jamaa wakawa wateja wangu wa kuniungisha..mara ghafla wakaanza kunikopa..mpaka leo ni mwaka wa nne umepita Steve namdai laki 2 na 30 na harmonize namdai laki 6 na 50..wote hawapokei simu zangu hadi kesho.
 
Jamaa hata yule msanii wake wakike alikua analalamika anafanyishwa show ila halipwi
 
Harmonise na Steven Nyerere ni matapeli wakubwa,nilikua na kagoli kangu hapo mbezi kwa zena enzi hizo najitafuta..nilikua nauza fresh meat na samaki,hao jamaa wakawa wateja wangu wa kuniungisha..mara ghafla wakaanza kunikopa..mpaka leo ni mwaka wa nne umepita Steve namdai laki 2 na 30 na harmonize namdai laki 6 na 50..wote hawapokei simu zangu hadi kesho.
laki 8 na 80 ipo kwa wateja biashara yako inaendeleaje
 
Ni Ujinga nikadondokea umachinga,hapo ndipo akili ikaanza kukomaa na nikajuta kwanini sikusoma kwa jinsi jua la la utosi linavyochoma.

Kama utani nikaanza kuimba ,Mungu si athumani nikakutana na simba akanipa kampani ila kuna wengine waliopinga eti sina kipaji wakashindwa kuelewa mola ndiyo mpaaji.

JESHI hiyo mistari inanipa morali ya kupambana sana...ebu lipa madeni buana uza hata LC300 moja ,kugombana na mabank inakuharibia future yako.
Umenifanya nikaimba neno kwa neno, nimecheka.

Hawezi kukimbia hukumu, atalipa tu.
 
Harmonise na Steven Nyerere ni matapeli wakubwa,nilikua na kagoli kangu hapo mbezi kwa zena enzi hizo najitafuta..nilikua nauza fresh meat na samaki,hao jamaa wakawa wateja wangu wa kuniungisha..mara ghafla wakaanza kunikopa..mpaka leo ni mwaka wa nne umepita Steve namdai laki 2 na 30 na harmonize namdai laki 6 na 50..wote hawapokei simu zangu hadi kesho.
Nyama unauza kilo shiling ngap na imekuaje mpaka ikafika hiyo yote?
 
duwh juz kati nilikutananae classic mall yuko na range moja matata kaingia crdb moja kwa kwenye getto la branch manager tukasema dah mwamba kishapita level za kukaa kwente mnyororo yeye fungu anaenda kuchukulia kwa wakubwa kabisa.
kumbe muhuni ana majanga makubwa kuliko sisi
Usiamini kila unachokiona Mkuu, kila mmoja ana siri katika maisha yake.
 
Ila Harmonize ni mtata kwenye kulipa madeni, nakumbuka miaka kadhaa hapo nyuma amewahi kukimbia deni la kodi ya nyumba aliyokuwa akiishi huko Mbezi Beach kwa Mchagga mmoja kama 150 Milioni hivi.
Hata wakati wa kuondoka Wasafi alilipa nusu tu, halafu akatumia nguvu ya Pombe akaondoka bila kumalizia hela iliyobaki.

Ova
 
Back
Top Bottom