Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Pole sana Mkuu, na huwa wanatumia karata yao ya umaarufu kutapeli watu bila kujua wanajiharibia wenyewe.

Kama kuna ambako anakopa nyama sasa hivi muuzaji akiona hii hatoendelea kumkopesha tena.
 
Kwa crdb kayakanyaga itamtokea puani
hawana lolote hao CRDB

wangekuwa wanajua banking and lending wangeshikilia dhamana

Konde Boy, wapige kisawa sawa hao wasomi uchwara wa CRDB

Walikutaka ufungue akaunti ya. biashara ili waone miamala yote ya maokoto na ma bills ya kampuni.

Biashara went burst, and they see all the accounting records, what they what you to do, rob the bank to pay the bank ?

Wamezoea predatory lending kwa wanyonge wasio na sauti. Konde, kaza hapo hapo. We don't commiserate with these predatory banks. Eff them!
 
Mil.300.. wanategemea kabisa atailipa...dah benk sometimes huwa wanawa overate Sana Hawa wasanii wanasahau huwa maisha yao ni fake...kwa 100%

Ungeamini kanumba amekufa Hana hata chumba chake alichojenga?..
Soma vizuri, deni limebaki milioni 100 Mkuu. Japo kuna faini na gharama za kesi ambazo anatakiwa kulipa nafikiri hazifiki milioni 300.
 
Je na huyu naye mtasema ni Mwalimu?

Maana walimu tunaonewa sana.

Kajala kala pesa ya mkopo😆😆😆
 
Kumbe alifanya huo ujinga? Sasa Jembe si ana uzoefu wa mambo ya studio kutokana na kumiliki redio kwanini hakumpa ushauri wa kumsaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…