Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

1000286948.jpg
 
Dah mwenye nyumba nae mbwege alisuburi deni likue hivyo kama miezi 6 hajalipa si unamtoa nduki.
Mkuu, ungemuona huyo mzee ungejisikia vibaya. Mzee alihojiwa na media siikumbuki, alikuwa na dalili za ugonjwa kama ule wa Lowassa hivyo alikuwa na kliniki hosp ambako alikuwa anatumia pesa nyingi.

Nilihuzunika sana.
 
Ila Harmonize ni mtata kwenye kulipa madeni, nakumbuka miaka kadhaa hapo nyuma amewahi kukimbia deni la kodi ya nyumba aliyokuwa akiishi huko Mbezi Beach kwa Mchagga mmoja kama 150 Milioni hivi.
Si pale kwakina basilla mwanukuzi pembeni ya mondi au mana mm nishakula yule beki mnyaturu ambae kuna siku alipost ni mjamzito
 
Back
Top Bottom