Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

Wewe ulipoitaja serikali ,ilikuwepo hapa!?
Serikali siyo mtu.

Kwakua ulisema kazi ya ualimu imekupa access ya kukopa 32M na ukashare screenshot ukiwa unakopa kupitia smartphone na serikali imewahi toa smartphones kwa walimu niliamini ni sawa kuitaja serikali.

Please understand, sitafuti adui kwa chochote nilichoandika.
 
Nje ya mada kuna jamaa kapiga hesabu ya muda * riba + mkopo ili kupata rejesho la jumla

Muda - 3 years
Riba - 18%

Kisha akahitimisha kwamba mkopo wa 300M inatakiwa kurejesha 354M kwa miaka 3.

Mimi nina experience na industry ya Fintech (mfano mkopo wa kampuni kama za Watu Simu, Watu Pikipiki, Laina, Branch etc)
Na kwa Fintec huu mkopo unapigiwa hesabu kwa mtindo huu mkopo/muda+mkopo*riba. Hapa tunataka kuona kila mwaka mteja atalipa sh ngapi

300,000,000 / 3 + 300,000,000 * 0.18 = 154,000,000

This means kwa huu mkopo wa Harmonize alitakiwa kulipa 154,000,000 kila mwaka kwa miaka 3. Ambapo jumla inakuja 462,000,000

Hivyo jumla ya rejesho la mkopo wa 300M ni 462M kwa miaka 3.

Kama kuna mtu wa benki aconfirm, but hii ndiyo sababu mikopo huonekana mwiba kwakua watu wengi hawaulizi hesabu za kweli ili wajue kiukweli malipo yatakua sh ngapi
 
Serikali sio mtu!? Hebu jifunze hapa kidogo hapa,serikali ni kundi la watu ambao wanawajibu wakuongoza,kusimamia na kuelekeza
Kuna maelezo tofauti tofauti ya "serikali" hii uliyoisema imo pia, wakati nasoma Politics tuligewa definitions zaidi ya 6. Halafu zote hazijajitosheleza.

Notice kwamba hapo shuleni mpo kikundi cha watu, mnaongoza, mnasimamia na kuelekeza. Nyinyi ni serikali?
 
Back
Top Bottom