[emoji23]
 
Tuseme ukweli, hivi mawakili wa serikali tuseme wanashindwa kesi au ni nini tatizo? mfano ni kesi za sabaya.
Tulia tunywe mtori nyama tutazikuta huko huko.. Hii drama ni ya kuzima timbwili la ngorongoro
 
Unamchonganisha na watawala ili wahakikishe safari hii hawakosei.
 
Mungu ni mwema kila hatua dua kijana mzalendo na mchapakazi leo ameigaragaza mahakama mkoani arusha tunazidi kukuombea tuliowengi ili uwe huru urudi uraiani tujenge nchi.
Bado ziko zingine nyuma yake. Kuna hizo za Moshi na kuna ambazo hazijafika mahakamani. Na mahakama ya watu inamsubiri nje
 
Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
 
Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
 
Hafungwi mtu pale!

Kama magaidi kina Mbowe wanaachiwa sembuse Sabaya?

Au nitajie mhujumu uchumi hata mmoja tu alieko jela anatumikia kifungo
Ugaidi wa Mbowe uko wapi fara mbona mnapenda giza kuliko nuru??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…