Mahakama yamwamuru Lissu kufika mahakamani

U
unamfokea nani sasa?
 
ndo kusema ili akae ndani hadi kampeni ziishe,hofu ya nn wakati wamefanya makubwa kuliko hata wakoloni
 
mhamiaji haramu alali usingizi tangu ujio wa lisu
 
Hawezi siasa sa ushindani lakini kashindana mpaka kawa rais sasa hao wanaoweza kushindana nadhani watakuwa marais wa dunia.
alibebwa ubunge,alibebwa uwaziri alibebwa uraisi safari hii mbebabaji Mungu alimpenda zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…